Halmashauri ya Wilaya ya Longido imetenga eneo kwa ajili ya ujenzi wa soko na stendi Eworendeke. Eneo hilo liko Umbali wa KM 2 kutoka mpaka wa Kenya na Tanzania, na umbaliwa Mita 170 kutoka barabara kuu ya Arusha- Namanga- Nairobi. Inakusudiwa kuwa maeneo hayo yakodishwe kwa watu binafsi, Mashirika au Makampuni yatakayoweza kufanya ujenzi kwa gharama zao na kukodishiwa maeneo hayoTangazo la Nafasi ya Vibanda vya soko na Stend Eworendeke.docx
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: 027-2539603
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM