Wizara ya afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na Watoto kupitia waziri mwenye dhamana Mh Ummy Mwalimu inapenda kutoa tahadhari ya ugonjwa wa EBOLA kwa wananchi katika mikoa yote ya Tanzania na pia kuwataka kuchukua hatua stahiki za kujikinga na kudhibiti ugonjwa huu usiingie nchini mwetu…
FAHAMU ZAIDI UGONJWA WA EBOLA
Ebola ni nini..?
Ebola inaeneaje..?
Dalili za Ebola ni zip..?
Jinsi ya kujikinga na Ebola
KWA MAELEZO ZAIDI FIKA KATIKA KITUO CHA HUDUMA ZA AFYA KILICHO KARIBU NAWE
AU PIGA SIMU 080 011 0124 AU 0800110125 HUDUMA HII NI BURE KWA MITANDAO YOTE
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: 027-2539603
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM