• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Miundombinu, Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mjjini
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Utawala na Usimamizi wa Rasimamli Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Huduma za Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Utalii
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Leseni
    • Huduma za Utalii
    • Huduma za Mapato
    • Huduma zetu Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati ya Maadili ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Barua pepe za Idara na Vitengo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Kituo cha habari
      • Maktaba ya Picha
      • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
  • Vivutio
    • Mbuga
    • Ziwa

TEHAMA

MAELEZO YA KITENGO CHA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO (TEHAMA)

MWAKA WA FEDHA: 2025

Kitengo hiki kina majukumu ya kusimamia utekelezaji wa kazi za Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Longido. Majukumu yake ni pamoja na kuratibu huduma zote za TEHAMA kwa idara zote za Halmashauri pamoja na taasisi nyingine za serikali zilizopo ndani ya Halmashauri kama vile TASAF, Mamlaka ya Maji, Ukaguzi wa Shule, n.k.

MGAWANYIKO WA MAJUKUMU YA KITENGO CHA TEHAMA

Kitengo cha TEHAMA kinatekeleza majukumu yaliyogawanyika katika maeneo yafuatayo:

1. Usimamizi wa Sera, Miongozo na Mipango

  • Kusimamia utekelezaji wa Sera, Sheria, Kanuni, Taratibu na Miongozo inayohusu TEHAMA kutoka Serikali Kuu.
  • Kuandaa Mpango Mkakati wa TEHAMA wa Halmashauri.
  • Kuandaa Miongozo na Taratibu kwa matumizi salama ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano.

2. Matengenezo na Usimamizi wa Miundombinu

  • Kutengeneza na kutekeleza mpango wa matengenezo ya vifaa vya TEHAMA (Preventive and Corrective Maintenance Plan) kwa mwaka wa fedha husika.
  • Kutathmini na kusimamia hatari na changamoto kwenye miundombinu ya TEHAMA pamoja na mifumo ya usimamizi wa taarifa.

3. Ushauri wa Kitaaluma na Ujenzi wa Uwezo

  • Kutoa ushauri kwa Mkurugenzi kuhusu masuala ya TEHAMA na utekelezaji wa dhana ya Serikali Mtandao.
  • Kufanya tathmini ya mahitaji ya mafunzo kwa watumishi na kuandaa mpango wa kujenga uwezo wa TEHAMA.
  • Kusimamia na kuratibu kazi za kitaaluma zinazohusu TEHAMA katika Vitengo na Idara mbalimbali.

4. Mifumo ya Habari na Usalama wa Taarifa

  • Kusimamia na kuboresha mifumo ya taarifa ya Halmashauri pamoja na usimamizi wa usalama wa taarifa.
  • Kuandaa sera ya TEHAMA ya Halmashauri na kuhakikisha utekelezaji wake unazingatia viwango vya kitaifa.
  • Kutoa viwango na ushauri juu ya ununuzi, usimikaji na matumizi ya vifaa vya TEHAMA kulingana na miongozo ya serikali.


WATUMISHI WA KITENGO

1.Zaina R. Mzee - Mkuu wa Idara

2.Musa M. Simtenda - Afisa TEHAMA

3.Kelvin I. Mwashambwa - Afisa TEHAMA

4. John Mhando - Afisa TEHAMA



Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 08, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA ( LINARUDIWA ) October 10, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA October 19, 2024
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 October 30, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA LONGIDO AWATAKIA WANAFUNZI WA DARASA LA SABA KILA LAHERI KWENYE MITIHANI YAO

    September 09, 2025
  • HUDUMA ZA UPASUAJI ZAANZA RASMI KITUO CHA AFYA EWORENDEKE - LONGIDO

    September 06, 2025
  • HUDUMA ZA UPASUAJI ZAANZA RASMI KITUO CHA AFYA EWORENDEKE - LONGIDO

    September 06, 2025
  • RC ARUSHA ATOA WITO WA AMANI NA UTULIVU LONGIDO KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

    September 04, 2025
  • View All

Video

WASICHANA WA SHULE YA SEKONDARI LONGIDO WAPATIWA ELIMU YA HEDHI SALAMA NA MSAADA WA TAULO ZA KIKE
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.