Wajumbe wa Baraza la madiwani wa halmashauri ya Longido wamefanya mkutano wa kuwasilisha taarifa za kata za robo ya nne za kuanzia mwezi april mpaka june 2018, Mkutano huo ulifanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa halmashauri hiyo.
Mkutano huo umehudhuriwa na madiwani wa kata zote 18 katika wilaya ya Longido, Wakuu wa idara na vitengo na wadau mbalimbali kutoka halmashauri ya wilaya ya Longido
Madiwani hao waliweza kuwasilisha taarifa hizo wakiwa wameeleza mafanikio na changamoto wanazokumbana nazo katika nyanja za elimu, kilimo, ufugaji, utekelezaji wa miradi ya maendeleo , utunzaji wa mazingira ,kiuchumi na afya.
Hata hivyo baadhi ya changamoto zilizo bainishwa ni pamoja uhaba wa maji katika kata ya Mundarara
Hivyo basi taarifa zote zilizowasilishwa zilipokelewa..
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: 027-2539603
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM