Wakazi wa vijiji vya Olmolog na Elerai wapata neema ya umeme wa mradi wa REA II.
Umeme huo utaunganishwa kwenye nyumba zote wanazohitaji umeme bila kuangalia aina ya nyumba ili mradi mwanachi awe na uwezo wa kulipia gharama za kuunganishiwa umeme.
Nao wakazi wa kijiji hicho wameshukuru na kupongeza juhudi za serikali ya awamu ya tano kwa kuwapelekea huduma hiyo na tayari wameshajaza fomu na kulipia gharama za kuunganishiwa umeme huo.
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: +255 272 970 793/ 94
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.