Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Longido anapenda kuwatangazia marekebisho ya nafasi za ajira ya muda kwa vijana wote wenye sifa. Nafasi mia tatu (300) za wakusanya taarifa kwenye zoezi la Anwani za makazi na Posticodi za kata na vijiji vyote vya Halmashauri ya Wilaya ya Longido.
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI....kazi.pdf
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: 027-2539603
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM