Uanzishaji na usajili wa shule nchini Tanzania unalenga kuhakikisha shule zote mpya zinazingatia viwango vya ubora, miundombinu salama, na uwezo wa uendeshaji endelevu. Taratibu hizi zinatekelezwa kwa mujibu wa:
Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 (iliyoboreshwa 2023)
Sheria ya Elimu Sura ya 353 (Education Act)
Mwongozo wa Usajili wa Shule (marekebisho ya Mwongozo wa 1982)
Miongozo ya Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, pamoja na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) kwa shule za mitihani.
Mtu binafsi, taasisi, kampuni, shirika au jumuiya inayokusudia kuanzisha shule lazima ianze kwa kuwasilisha maombi ya maandishi ya kibali cha ujenzi kwa Afisa Elimu wa Mkoa kupitia Afisa Elimu wa Wilaya ambako shule itajengwa.
Maombi hayo yaambatane na nyaraka zifuatazo:
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: 027-2539603
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.