MAELEZO YA KITENGO CHA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO (TEHAMA)
MWAKA WA FEDHA: 2025
Kitengo hiki kina majukumu ya kusimamia utekelezaji wa kazi za Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Longido. Majukumu yake ni pamoja na kuratibu huduma zote za TEHAMA kwa idara zote za Halmashauri pamoja na taasisi nyingine za serikali zilizopo ndani ya Halmashauri kama vile TASAF, Mamlaka ya Maji, Ukaguzi wa Shule, n.k.
MGAWANYIKO WA MAJUKUMU YA KITENGO CHA TEHAMA
Kitengo cha TEHAMA kinatekeleza majukumu yaliyogawanyika katika maeneo yafuatayo:
1. Usimamizi wa Sera, Miongozo na Mipango
2. Matengenezo na Usimamizi wa Miundombinu
3. Ushauri wa Kitaaluma na Ujenzi wa Uwezo
4. Mifumo ya Habari na Usalama wa Taarifa
WATUMISHI WA KITENGO
1.Zaina R. Mzee - Mkuu wa Idara
2.Musa M. Simtenda - Afisa TEHAMA
3.Kelvin I. Mwashambwa - Afisa TEHAMA
4. John Mhando - Afisa TEHAMA
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: 027-2539603
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.