Baraza la Madiwani Halmashauri ya Longido mkoani Arusha Leo tarehe 10/09/2022 limepitisha uundaji wa mfuko wa Maendeleo ya Jamii kwa ajili ya huduma za Elimu msingi na Sekondari .
Baraza hilo limeazimia kwa pamoja chini ya Mwenyekiti wa Halmashauri Mh.Simon Oltesoi baada ya kubaini kuwepo kwa msongamano mkubwa madarasa na bwenini kutokana na upungufu wa miundombinu ya majengo..
'Tumeazimia Kila mwananchi wa Longido atachangia sh.20000/-(Elfu ishirini) kwa mfuko huo kwa Kila mwaka" alisema Mh.Oltesoi.
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: 027-2539603
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM