• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Miundombinu, Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mjjini
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Utawala na Usimamizi wa Rasimamli Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Huduma za Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Utalii
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Leseni
    • Huduma za Utalii
    • Huduma za Mapato
    • Huduma zetu Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati ya Maadili ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Barua pepe za Idara na Vitengo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Kituo cha habari
      • Maktaba ya Picha
      • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
  • Vivutio
    • Mbuga
    • Ziwa

MKURUGENZI MTENDAJI AFANYA ZIARA KWENYE MIGODI YA MADINI MUNDARARA.

Posted on: November 27th, 2020

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Longido Dkt Jumaa Mhina  leo tarehe  27/11/2020 amefanya ziara kwenye migodi ya madini eneo la Mundarara, Dkt. Mhina ameambatana na Kaimu Mweka Hazina wilaya ndugu Exaud Mbise,Mwanasheria wa Wilaya ndg.Dominick Luhamvya, Afisa biashara wa Halmashauri  ndg.Parmet na afisa Ardhi wilaya ndg.Masheka,Timu hiyo  imetembelea migodi mbalimbali ukiwemo wa  Shadrack mollel, Mgodi wa Sendeu laizer ,Mgodi wa Kijiji na Mgodi wa Mundarara Rubby .

Dkt Mhina amesema dhumuni kubwa la ziara hiyo ni Kuangalia maendeleo ya Migodi lakini pia kuwakumbusha  juu ya ulipaji wa kodi mbalimbali za serikali iwemo TRA na Halmashauri ambayo ni service levy.Vile vile Dkt Mhina amewataka wamiliki hao wa migodi  kufuata sheria mbalimbali za migodi na usalama na kukumbuka kuhudumia jamii pindi wakipata madini ikiwa ni kuweka ushirikiano mzuri na jamii pia kuwapatia akina mama mabaki ya udongo ili waweze kujikimu kimaisha.

Vile vile  Dkt. Mhina  ametumia ziara hiyo kumpongeza mmiliki wa mgodi wa Sendeu Laizer kwa kupata tani 5.4 za madini  ya Rubby zenye thamani ya bilioni 1.7 na kumtaka pindi atakapouza madini hayo akumbuke kulipa kodi zote za serikali ikiwemo ya TRA na kodi ya huduma ya Halmashauri  lakini pia kuwa na uhusiano mzuri na jamii ya wana Mundarara.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 08, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA ( LINARUDIWA ) October 10, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA October 19, 2024
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 October 30, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA LONGIDO AWATAKIA WANAFUNZI WA DARASA LA SABA KILA LAHERI KWENYE MITIHANI YAO

    September 09, 2025
  • HUDUMA ZA UPASUAJI ZAANZA RASMI KITUO CHA AFYA EWORENDEKE - LONGIDO

    September 06, 2025
  • HUDUMA ZA UPASUAJI ZAANZA RASMI KITUO CHA AFYA EWORENDEKE - LONGIDO

    September 06, 2025
  • RC ARUSHA ATOA WITO WA AMANI NA UTULIVU LONGIDO KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

    September 04, 2025
  • View All

Video

PWC YATOA MSAADA KWA MASHIRIKA MADOGO LONGIDO KUKABILI MABADILIKO YA TABIA NCHI
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.