PSPF kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Longido Wametoa elimu ya pensheni mpya iitwayo WOTE SCHEME, elimu hiyo imetolewa kwa watu wa Secta isiyo Rasmi ikihisisha Wafugaji na wafanyabiashara wadogowadogo pamoja na Wakulima Wilyani Longido. Elimu hiyo imetolewa katika Ukumbi mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Longido chini ya uratibu wa Afisamaendeleo wa Wilaya Bwana Raymond Mushi pamoja na Wataalam kutoka PSPF. Kupata mada zilizo fundishwa Bofya hapaBofya hapa
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: 027-2539603
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM