• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Miundombinu, Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mjjini
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Utawala na Usimamizi wa Rasimamli Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Huduma za Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Utalii
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Leseni
    • Huduma za Utalii
    • Huduma za Mapato
    • Huduma zetu Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati ya Maadili ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Barua pepe za Idara na Vitengo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Kituo cha habari
      • Maktaba ya Picha
      • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
  • Vivutio
    • Mbuga
    • Ziwa

HALMASHAURI YAPATA TUZO YA USHINDI KWA KUSHIKA NAFASI YA 5 KITAIFA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI

Posted on: April 2nd, 2019

Na Zaina Mzee

Halmashauri ya Wilaya ya Longido Mkoani Arusha imepokea tuzo ya ushindi kwa  kushika  nafasi ya 5 kitaifa kati ya  Halmashauri na Manispaa 195 kwenye matokeo kidato cha pili kwa mwaka 2018.

Tuzo hiyo imetolewa na Global Education Link na kukabidhiwa kwa Afisa elimu sekondari Mwl.Gerson Mtera kwa niaba ya Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri hiyo. 

Mkurugenzi wa Halmashauri  hiyo Bw. Jumaa Mhina amewapongeza Idara ya Elimu Sekondari wakiongozwa na mkuu wa idara ya Elimu Sekondari  Mwl.Gerson Mtera na Wadau wote wa Elimu  kwa ufundishaji na usimamizi mzuri wa maswala ya Elimu.

Mhina emeeleza kuwa Halmashauri imeweka mikakati ya kuboresha swala la Elimu na kuhakikisha tunabaki nafasi za juu kwenye sekta zote kwani hii ni Longido mpya.

Aidha Mhina ametoa wito kwa jamii na wadau wa elimu Kushiriki kuboresha Sekta ya Elimu hususani katika ujenzi wa Miundombinu (Mabweni, Madarasa, Maabara, Vyoo, Nyumba za Walimu na Ofisi za Walimu)   kwenye Halmashauri hiyo.

Akipokea pongezi kwa niaba ya walimu na wadau wa Elimu, Afisa Elimu Sekondar Mwl.Gerson Mtera amesema, Hii ni hatua kubwa tuliyofikia katika kutoa elimu ya Sekondari na tunajipanga kupata nafasi nzuri zaidi mwaka huu 2019.

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA June 13, 2025
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WA UMMA April 12, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA May 15, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA June 25, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • View All

Video

MKUU WA WILAYA YA LONGIDO AUNGANA NA RC KIHONGOSI KWENYE JOGGING YA TANZANIA SAMIA CONNECT
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.