Mkutano wa kawaida wa Baraza la Madiwani kwa robo ya nne umeendelea leo tarehe 10/09/2022 katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Longido.
Wenyeviti wa Kamati mbalimbali za kudumu za Halmashauri zimewaailisha Taarifa zao ikiwemo Kamati ya shirikishi ya kudhibiti UKIMWI,Kamati ya Elimu,Afya na Maji, Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira,Kamati ya Fedha,Utawala na Mipango.
Aidha Baraza pia limepokea taarifa toka kwa wadau mbalimbali wa Halmashauri wakiwemo TARURA,TANESCO na RUWASA.
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: 027-2539603
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM