• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Miundombinu, Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mjjini
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Utawala na Usimamizi wa Rasimamli Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Huduma za Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Utalii
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Leseni
    • Huduma za Utalii
    • Huduma za Mapato
    • Huduma zetu Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati ya Maadili ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Barua pepe za Idara na Vitengo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Kituo cha habari
      • Maktaba ya Picha
      • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
  • Vivutio
    • Mbuga
    • Ziwa

Longido yapata muarobaini wa urasimishaji ardhi

Posted on: November 24th, 2017

Kwa kutambua  umuhimu na thamanj ya Ardhi  Halmashauri ya wilaya ya Longido mkoani Arusha  imeanzisha mpango  shirikishi  wa urasimishaji  na  kampuni ya  iliyosajiliwa na Wizara ya Ardhi  nyumba na Maendeleo ya makazi  ya Geoid Geomatics Consultants Enterprises.


Idara ya Ardhi  imepanga  kufanya zoezi  hilo la urasimishaji wa makazi holela kwa maeneo ya Namanga na Longido  ikishirikiana na Kampuni  hiyo  kutokana na ufinyu wa bajeti hususani mapato ya ndani.


Afisa Ardhi  Bi.Letara  ameeleza kuwa  pamoja na kwamba  mkataba huo wa Halmashauri na kampuni husika haujasainiwa  lakini  idara yao imejitahidi kufanya uhamasishwaji wa wananchi  wa eneo la Namanga kwa kuwa sisitiza kuwa Ardhi  iliyo pimwa ni mali hai na ardhi ambayo haijapimwa nia mali mfu   kwa maana  ya kuwa  haitambuliki na serikali  pindi  utakapohitaji  msaada  kama vile mkopo.


Vilevile Bi.Letara amesema wananchi kwa upande wao wameonesha moyo na mwitiko mkubwa katika  zoezi hilo la upimaji ardhi  kwani wameelimishwa  kuhusiana na umuhimu wa  upimaji ardhi ikiwa ni  kuweza kupata mkopo benki,kuepuka msongamano wa makazi  katika eneo moja ,kurahisisha zoezi la usafirshaji  kutokana na uwepo wa barabara.


Pia amesema kuna mwongozo   chini ya sheria na mamlaka ya ardhi unaoeleza kuwa kila mwananchi anatakiwa kutenga sehemu ya eneo  lake kwa  ajili ya ujenzi wa barabara na kuwajibika  kumchangia mtu ambaye atakuwepo katika eneo stahiki kwa ajili ya barabara kwa kumfidia gharama zake  za ujenzi na eneo atakalo jengea makazi yake upya.


Aidha kamati hiyo imetoa mapendekezo  ya gharama za urasimishaji ikiwa ni kupanga,kupima ,kuchonga barabara na mgawanyo  wa mapato kulingana  na ukubwa wa kiwanja kama ifuatavyo  ukubwa wa kiwanja 1.<150 mita sguare ,ni sh.276000, 2.(151___300) meter sguare ni sh.310000, 3.(301___800)meter sguare ni sh.380000, 4.(1501___1500)meter sguare ni sh.495000 na 5.(1501___2500 ni

 Sh.625000.


Pia wamependekeza kuwa kampuni  itafanya  kazi zote za kupanga,kupima,kuainisha ,kuchonga barabara na kuwajibikaji  kulipa fidia zote zitakapo hitajika kwa zoezi la utekelezaji kusimamiwa na halmashauri na mgawanyo wa mapato  ni 10% kwa halmashauri  kuratibu na kusimamia mradi,  10% kwenye kata na 80% inayobakia kwenye kampuni  ikiwa ni gharama za urasimishaji na fidia itakapohitajika .


Hivyo basi ili kazi ianze rasmi  Halmashauri  itaandaa mkataba  wa kisheria wa makubaliano hayo utakao sainiwa na pande zote  husika na kazi hiyo

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA June 13, 2025
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WA UMMA April 12, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA May 15, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA June 25, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • View All

Video

MKUU WA WILAYA YA LONGIDO AUNGANA NA RC KIHONGOSI KWENYE JOGGING YA TANZANIA SAMIA CONNECT
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.