Na Johnson Ismail
Katika hatua za kukabiliana na umaskini mfuko wa Maendeleo ya jamii TASAF umetoa mbuzi 120 kwa walengwa 120 ambao wamejiunga kwenye vikundi20 na kupata mbuzi20 zikiwa ni jitihada za kuhakikisha kuteketeza umqskini vijijini.
Ugawaji huo Ulifanyika jana katika kijiji cha Matale “A” nakuhudhuriwa na Mratibu wa TASAF Wilaya Lobulo Saruni, Afisa Mifugo wilaya Nestory Lagaro, na Afisa ufwatiliaji na Ushauri wa TASAF Wilaya Kwalengo la kukuza na kuongeza kipato(IGAS)income generate Activities.katika kaya maskini.
Hatahivyo lengo la mifugo hiyo likiwa ni kuongeza kipato kwa kaya na kikundi chenyewe lazima kihakikishe kina tunza mbuzi haokwa kuwa tibu mara kwa mara ili kuzuia mbuzi kusha mbukiwa na magonjwa pia kuwapa malisho ya kutosha hiyo itasaidia kuongeza kipato katika kaya.
Aidha zoezi hilo lime ambatana na umaliziaji wa Uhaulishaji wa fedha katika kaya maskini 5652 katikaVijiji 27 vilivyoko kwenye mpango wa kunusuru kaya maskini kwa jumla ya shilingi Milioni miamoja themanini na saba sitinina nanane elfu uliochukua mda wa siku tano.
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: 027-2539603
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM