Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe magufuli na Rais Uhuru Kenyatta wa Jamuhuri ya Kenya Leo tarehe 01/12/2018 wamefungua kituo cha pamoja cha Forodha(OSBP) eneo la Namanga.
Kituo hiki cha Forodha kitarahisisha huduma na watu kuchukua muda mfupi kupata huduma za Forodha mpakani.
Kituo hiki kinatumika kuingia na kutoka nchini Kenya.
Katika sherehe hizi za ufunguzi wa kituo cha pamoja cha Forodha(OSBO) Mheshimiwa Rais ameongozana na viongozi mbalimbali wa serikali.
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: 027-2539603
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM