Na Johnson Ismail
Approved By Joseph Peter Mkumbwa. agDICTO
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Longido Wakili Jumaa Mhina ,Amewakaribisha wataalamu kutoka Tamisemi na kuitisha kikao na wataalamu wa H/W, kikao kilicho fanyika kwenye ukumbi wa Mw,J.K Nyerere.
Wataalamu hao walio kuja kwa lengo la kufuatilia Hoja za Halmashauri na kuonyesha changamoto zinazo sababisha hoja hizo kuwepo na kutofutika na kuendelea kuisababishia halmashauri kuwa na Hati chafu mara kwa mara.
Hatahivyo baada ya Mkurugenzi Mtendaji Wakili Mhina kuwatambulisha wataalamu hao Aliwaruhusu kutoa maelezo kwa wataalamu wa Halmashauri.
Pia Wataalamu hao wa Tamisemi waliomba na kuwataka Wataalamu wa Halmashauri kutoa ushirikiano wa kutosha ili waweze kutatua hoja hizo za hati chafu zinazo ikabili Halmashauri.
Aidha Mkurugenzi Mhina Almaliza kwa kuwataka Wataalamu wa H/w kutoa ushirikiano wakutosha kwa wataalamu hao wa Tamisemi pi kuwepo Ofisini mda wote ili wataalamu wanapo taka taarifa/ jambo lolote iwe rahisi kupatikana na kwa mdahusika.
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: 027-2539603
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM