CHANGAMOTO ZA KIJIJI CHA ENGIKARET TENA BASI
NAJOHNSON ISMAIL
Approved By Joseph peter mkumbwa. agDICTO
Mkutano wa Mkuuwa Wilaya naWananchiwa Kijiji cha Engikaret uliofanyika Shule ya Msingi Engikaret kwa Lengo/Dhumuni la kusikiliza na kutatua Matatizo na changamoto za Kijiji hicho.
MkutanohuouliohudhuriwanaViongozi waHalmashauri,Watumishi mbalimbali naWana kijijiwa Kijiji hicho kwalengo la kuhakikishaMatatizoyaArdhi,Mipaka,Maji,naMaendeleoyanapatiwaufumbuzi.
Akizungumza na wananchi wa Kijiji hicho Mkuu wa Wilaya ya Longido Mh.Daniel Godfrey Chongolo, Alianza kwa kuwataka wanaKijiji haokueleza matatizo yao yanayowakabili, Ambapo wengiwao walionekana kuwanatatizo la Fidia ya Ardhi nguzozaumemezilipopitia,mipaka.Hivyoaliamua kutoa maamuzi nakusema “Nimegundua kunashida kubwa ya Ardhi inayosababishwa na viongozi wenyewe,Hivyo Wiki ijayokuanzia Tarehe26 nakuendelea nakuja kuzungukia maeneo yote yaliyopitiwa nanguzozaUmeme na Mipaka yote ilikutatua matatizohayo.”
Hatahivyo Mh.Chongolo amewataka wanakijijihao kutojadilitena swalahilo kwani ameshalitolea maamuzi na pia swalahilo likochiniyake analifanyiakazi, naswala la Majikutoka Siha Mlima Kilimanjaro niyauhakika.
Mh.Chongolo Alimalizia kwa kuwapongeza wazazi kwakuchangia chakula cha wanafunzi na kuwataka Wananchi kutunza chakula kwa ajili yakukitumia Msimu wabei zinapopanda Pia amewataka viongozi waSerikali za Mitaa na Vijiji kuwamakini na Uharibifuwa Mazingira Hasa Uchomaji wa Mikaa kuchukua hatua kablahajafanya uchunguzi wa kina mwenyewe nakuwatoleamaamuzi
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: 027-2539603
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM