Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mh.Isack Kamwelweleo tarehe 18/10/2017 amekakagua Mradi wa maji Mtosimba uliwekwa jiwe la msingi na Waziri mkuu Kasim Majaliwa Kasimu Tarehe 21/9/2017 utakao gharimu shilingi 15,766,897,539,660.zaTanzania.
Mhandisi Mh.Kamwelwe amewapongeza Wafanyakazi kwa ushirikiano wao mzuri na kujituma katika kazi na kuwataka kujenga Mabirika sehemu maji yatakapo pita kwaajili ya mifugo na visima vidogo porini kwaajili ya wanyama ili kuepuka wanyama hao kufukua bomba pia ameahidi kufikisha maji hayo mji wa namanga Halkadhalila ameomba kuhusishwa katika kujenga mabwa kwaajili ya kuhifadhi maji kipindi cha ukame.
Pia Waziri Kamwelwe amemalizia kwa kuwataka kuanzisha Mamlaka ndogo itakayo endesha mradi na ameto shukrani kwa Madiwadi wa wilaya ya Longido kwa kushirikiana vyema na kutekeleza Miradi.
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: 027-2539603
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM