Mkuu wa Wilaya ya Longido Mhe. Marko Henry Ng'umbi Leo tarehe 31/01/2023 amekula kiapo katika hafla fupi ya kuwaapisha wakuu wa Wilaya wateule wa Mkoa wa Arusha.
Hafla hiyo imefanyika katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha ambapo wakuu wa Wilaya zote saba za Arusha, Arumeru na Longido wameapishwa na kula kiapo cha maadiili.
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: 027-2539603
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM