Halmashauri ya Wilaya ya Longido imepokea msaada wa viti 36 kutoka kampuni ya uwindaji ya Tanzania Big Game Safaris ikiwa ni msaada kwa jamii .
Afisa Ustawi wa Jamii(W) Bi Anna Wandwi amesema viti hivyo vitatolewa kwa wananchi wenye uhitaji ambao walikwisha tambuliwa kutoka Kata ya Longido, Kimokouwa,Ketumbeine na Mundarara.
Aidha mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Longido Ndg. Jumaa Mhina ameishukuru kampuni ya Tanzania Big Game Safaris kwa msaada huo waliotoa kwa jamii yenye uhitaji maalum.
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: 027-2539603
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM