Waheshimiwa Madiwani wa Kata 18 na Viti Maalum 6 wa Halmashauri ya Wilaya ya Longido leo tarehe 14/12/2020 wameapa kuitumikia Halmashauri mbele ya Hakimu wa Wilaya ya Longido Mh. Aziza Temu wakati wa uzinduzi wa baraza la madiwani baada ya uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: 027-2539603
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM