• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Miundombinu, Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mjjini
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Utawala na Usimamizi wa Rasimamli Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Huduma za Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Utalii
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Leseni
    • Huduma za Utalii
    • Huduma za Mapato
    • Huduma zetu Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati ya Maadili ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Barua pepe za Idara na Vitengo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Kituo cha habari
      • Maktaba ya Picha
      • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
  • Vivutio
    • Mbuga
    • Ziwa

Wakuu wa vituo vya Afya na wajumbe wa bodi ya afya wapata mafunzo ya CHF iliyoboreshwa.

Posted on: May 9th, 2018

Wawezeshaji  wa mafunzo  ya afya kwa ngazi ya Halmashauri ya wilaya ya longido wametoa mafunzo ya DHFF,FFARS, CHF ilioboreshwa na mfumo wa  JAZIA(PVS) kwa wakuu wa vituo vya afya ,zahanati pamoja na bodi ya  wajumbe wa kamati za afya


Mafunzo hayo ni mwendelezo  wa mafunzo yaliyofanyika  kwa wataalamu wa afya katika ngazi ya mkoa ambayo yalidumu kwa Siku tatu hivyo kuzinduliwa  kwa ngazi ya Halmashauri na  kaimu mkurungenzi mtendaji ndg. Nestory  Daqaro  tarehe 7, mei 2018 katika ukumbi mkuu wa Halmashauri .

Wawezeshaji hao  wamewaeleza  kuwa mafunzo  hayo  yana lengo la  kuongeza uelewa mpana   kwa maana ya ugatuaji wa Mipango ya Afya na bajeti kwa  utaratibu wa kupeleka fedha moja kwa moja kwenye vituo vya kutolea huduma ya (DHFF) yenye matarajio ya kupunguza urasimu na kuboresha utoaji wa huduma za afya kwa uandaji wa Mipango,bajeti na matumizi yanayolenga kuboresha  huduma za afya.

Hivyo basi  Halmashauri hiyo kushirikiana na wizara ya afya pamoja na wadau mbalimbali wameamua kuboresha utoaji wa huduma za afya kwa kuwaelimisha kwanza mifumo hiyo inavyofanya kazi.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO September 04, 2025
  • View All

Habari Mpya

  • WANAFUNZI 219 WAHITIMU KIDATO CHA NNE SHULE YA SEKONDARI ENGARENAIBOR

    October 06, 2025
  • LONGIDO YAADHIMISHA SIKU YA WAZEE KWA SHANGWE NA UTOAJI WA HUDUMA ZA AFYA

    September 26, 2025
  • LONGIDO YAADHIMISHA SIKU YA USAFI WA MAZINGIRA KWA MAFANIKIO MAKUBWA

    September 20, 2025
  • LONGIDO YAADHIMISHA SIKU YA USAFI WA MAZINGIRA KWA MAFANIKIO MAKUBWA

    September 20, 2025
  • View All

Video

KARIBU LONGIDO LANGO LA UTALII
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.