• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Miundombinu, Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mjjini
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Utawala na Usimamizi wa Rasimamli Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Huduma za Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Utalii
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Leseni
    • Huduma za Utalii
    • Huduma za Mapato
    • Huduma zetu Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati ya Maadili ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Barua pepe za Idara na Vitengo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Kituo cha habari
      • Maktaba ya Picha
      • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
  • Vivutio
    • Mbuga
    • Ziwa

WANAVIKUNDI KUTOKA KIMOKOUWA, ORBOMBA NA EWORENDEKE WAPATIWA MAFUNZO YA KILIMO CHA BUSTANI

Posted on: November 21st, 2025

Shirika la RECODA leo, Novemba 21, 2025, limeendesha mafunzo ya kilimo cha bustani ndogondogo za nyumbani kwa wanavikundi kutoka vijiji vya Orbomba, Kimokouwa na Eworendeke, pamoja na taasisi za dini wilayani Longido.

Akizungumza wakati wa mafunzo hayo, mwezeshaji Bw. Kaleb Masam alisema kuwa lengo ni kuhakikisha kila kaya inakuwa na uhakika wa mboga za kutosha ili kuongeza lishe pamoja na kujipatia kipato kwa familia na jamii kwa ujumla.

Kwa upande wake, Afisa Kilimo wa Halmashauri ya Wilaya ya Longido, Bw. Fula Justine, alisema kuwa mafunzo hayo yamekuja kwa wakati muafaka, kwani kilimo cha bustani ni muhimu katika kuzalisha mboga mboga zinazosaidia kuimarisha afya na kuongeza kipato.

Naye Bi. Hadija Rashid, mshiriki na mnufaika wa mafunzo kutoka Eworendeke, amelishukuru Shirika la RECODA kwa kutoa mafunzo hayo ambayo yatasaidia kuongeza lishe na upatikanaji wa mboga katika milo ya nyumbani.
Aidha, Bi. Hellena Laizer, mshiriki kutoka Kimokouwa, alisema kuwa mradi huo ni fursa nzuri ya kuanza kufanya kilimo cha mboga mboga na miche midogo midogo, kisha kuuza ili kuongeza kipato cha familia

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA November 17, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA November 17, 2025
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2025 November 05, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO September 04, 2025
  • View All

Habari Mpya

  • BARAZA LA MADIWANI LONGIDO LATAKA MIRADI VIPORO IKAMILISHWE KABLA YA KUANZA MIRADI MIPYA

    February 06, 2026
  • LONGIDO YAADHIMISHA SIKU YA SHERIA, VIONGOZI WAHIMIZA UTII WA SHERIA

    February 04, 2026
  • TEKNOLOJIA YAONGEZA KASI YA UKUSANYAJI MAPATO LONGIDO

    February 04, 2026
  • CCM LONGIDO YAMKABIDHI DC KALLI HATI YA HESHIMA

    February 04, 2026
  • View All

Video

SHUGHULI ZA MAENDELEO ZILIZOFANYWA NA BARAZA LA MADIWANI LONGIDO KWA KIPINDI CHA DISEMBA 2025-JANUARI 2026
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: +255 272 970 793/ 94

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.

  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Togel
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • axl777
  • Situs Toto
  • YAMITOTO
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Toto Slot
  • DORA77
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • toto
  • Toto 4D
  • AXL777
  • YAMITOTO
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • toto slot
  • koi200
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • toto slot
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • situs toto