Watoto wenye umri wa miaka 5 hadi 14 katika wilaya ya Longido wamefanikiwa kupatiwa kinga tiba ya minyoo ya Tumbo na magonjwa ya kichocho Mei 2/3, 2019
idadi ya watoto waliopata huduma hiyo ni watoto wapatao 31386 walioandikishwa na wasio andikishwa kwenda shule .
Zoezi la kuwahudumia limefanyika katika shule zote za msingi za Wilayani humo kwa kipindi cha siku mbili mfululizo chini ya uangalizi wa wataalamu wa Afya.
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: 027-2539603
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM