MIRADI YA KUKABILIANA NA MABADILIKO YA HALI YA HEWA NA TABIANCHI ILIYOPITISHWA KUTEKELEZWA KATIKA TARAFA ZA WILAYA YA LONGIDO.
1.TARAFA YA KETUMBEINE
i)Kutoa Maji chanzo cha Ilorienito kwenda Kijiji cha Losirwa. Kuweka DP moja na ujenzi wa cattle trough moja.
ii)Ujenzi wa Zahanati Magadini
iii)Upatikanaji wa maji Kijiji cha Alaililai
iv)Ujenzi wa majiko sanifu katika vijiji vyote vya Kata za Gelai Lumbwa, Ketumbeine na Noondoto
v)Ujenzi wa makinga maji, utoaji wa mbegu za muda mfupi, mbegu za mihogo, mtama mweupe Vijiji vya Merugoi, Loondolwo, Losirwa, Ilorienito, Naadare
vi)Upandaji wa Miti Kijiji cha Olchoronyokie
2.TARAFA YA ENDUIMET
i)Kijiji cha Leremeta - Kuongeza Mtandao wa Maji na ujenzi wa cattle trough moja
ii)Kijiji cha Ngereyani – kuongeza Mtandao wa Maji kutoka Ngereyani kwenda kitongoji cha Ngobeni
iii)Ukarabati wa Josho la Kijiji cha Lerangwa
iv)Ujenzi wa kibanio Kijiji cha Irkaswa
v)Ujenzi wa kibanio Kijiji cha Olmolog
vi)Mradi wa Ujenzi wa Ghala Kijiji cha Oldonyo
3.TARAFA YA ENGARENAIBOR
i)Ujenzi wa ghala moja la kuhifadhia chakula Kata ya Engarenaibor
ii)Kuhifadhi vyanzo vya maji katika Kata za Engarenaibor, Mundarara na Matale
iii)Kuboresha maabara ya mifugo na kuweka vifaa Kata ya Engarenaibor
iv)Kuchimba Kisima kirefu (borehole) Matale “B”
v)Kuchimba Kisima kirefu Kijiji cha Orpurkel, Mundarara
vi)Kuboresha nyanda za malisho kwa kuondoa magugu vamizi na kusia mbegu za majani
4.TARAFA YA LONGIDO
i)Uendelezaji wa Bwawa la Kiserian kwa kujenga uzio, cattle trough, tanki, na Kituo kimoja cha Maji
ii)Ujenzi wa Uzio, goat & sheep trough na Kituo kimoja cha maji Bwawa la Engikaret
iii)Kukarabati Josho la Eorendeke
iv)Ujenzi wa Tanki kwa ajili ya umwagiliaji Kijiji cha Kimokouwa
v)Ukarabati wa Visima virefu viwili Namanga.
vi)Kuvuta Maji kutoka kisima kipya hadi Lalamok Kijiji cha Orbomba
vii)Kuvuta maji kutoka kituo cha Orbomba kwenda kijiji cha Ranchi
5.MIRADI NGAZI YA WILAYA
i)Kuanzisha radio ya Jamii Wilaya Longido
ii)kuweka vipima mvua katika kila Kata
iii)Kuanzisha mashamba darasa ya malisho ya mifugo katika kila tarafa
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: 027-2539603
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM