• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Afya
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Usafishaji na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
        • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti Ukimwi
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • miradi iliyokamilishwa
  • Machapisho
    • sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • mpango mkakakati
    • Riport mbalimbali
    • Form mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Sheria



Kitengo cha sheria husimamia utekelezaji wa sheria na taratibu mbalimbali zinazoratibu shughuli mbalimbali za halmashauri katika idara zote hivyo majukumu yake ni mtambuka.

SHUGHULI AMBAZO UTEKELEZWA KILA SIKU.

  • Kutoa ushauri wa kisheria kwa halmashauri katika mambo mbalimbali pamoja na wadau wengine.
  • Kusimamia kesi mbalimbali za halmashauri
  • Kutatua migogoro mbalimbali katika kata
  • Kuandaa na kupitia mikataba mbalimbali ya halmashauri
  • Kusimamia utekelezaji wa sheria hususani sheria ndogo za halmashauri
  • Kutunga na kurekebisha sheria ndogo za halmashauri.
  • Kutoa ushauri  wa kisheria kwa wananchi

SHERIA NDOGO.

Halmashauri h usimamia na  kutekeleza shughuli mbalimbali kwa kutumia sheria ndogo ambazo zimetungwa na kitengo hiki na kupitishwa. Baadhi ya Sheria hizo ni pamoja na;

  • Sheria ndogo za ushuru wa kituo cha mabasi
  • Sheria ndogo za kodi ya majengo
  • Sheria ndogo za ushuru wa madini ya ujenzi
  • Sheria ndogo za ada na ushuru
  •  Sheria ndogo za uandikishaji wa magari ya biashara
  • Sheria ndogo za ushuru wa mazao
  • Sheria ndogo za usafi wa mazingira
  • Sheria ndogo za kudhibiti uwekaji wa mabango na matangazo
  • Sheria ndogo za ada ya machinjio
  • Sheria ndogo za kodi ya huduma

KESI

Halmashauri ina idadi ya kesi 23 ambazo bado zinaendelea katika mahakama mbalimbali. Kesi hizo zipo katika hatua ya kusikiliza. Karibu 75/% ya kesi hizo zinahusiana na migogpro ya ardhi kutokana na kwamba kuna ongezeko kubwa la uhitaji wa ardhi kwaajili ya makazi inayopelekea watu wengi kuvamia maeneo yasiyokuwa yao.







Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10% January 30, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • DED LONGIDO AFUNGUA MAFUNZO UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA

    May 14, 2025
  • MITUNGI 50 YATOLEWA KWA BABA NA MAMA LISHE WILAYANI LONGIDO

    April 17, 2025
  • WATAALAMU WA AFYA WATOA ELIMU KUHUSU MPOX KATIKA SHULE YA SEKONDARI ENGARENAIBOR NA KETUMBEINE

    March 21, 2025
  • WWF NA BBC MEDIA ACTION WATOA MAFUNZO KWA VIONGOZI WA JAMII JUU YA UHIFADHI WA MAZINGIRA

    March 21, 2025
  • View All

Video

Ujenzi wa madarasa 4 na Ofisi ya walimu shule shikizi Lopoloseki,
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Ufugaji
  • Elimu msingi Primary Education

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM