Hii ni idara mojawapo katika Halmashauri ya Longido. Idara inavitengo vitatu (3) navyo ni
Kazi zinazofanywa kwa kila kitengo ni kama inavyoonyeshwa hapa chini.
Majengo ya Serikali tunasimamia ujenzi wa shule za Sekondari, shule za Msingi , Ofisi za kata, Hospital, Zahanati na majengo ya secta mbalimbali za serikali
B. Utoaji vibali vya ujenzi kwa taasisi na watu binafsi wanaojenga katika halmashauri ya Mji Kibaha vibali vinatolewa kwa wale waliopimiwa viwanja na ambao hawajapimiwa. .
C. Kutoa ushauri wa kiufundi katika masuala ya ujenzi
Tunatoa ushauri wa kitaalamu pamoja na ukaguzi wa ramani mbalimbali za watu wanaotaka kujenga nyumba bora na za kisasa.
D. Tunatoa huduma ya kuchora ramani pamoja na kufanya makisio yaani kuandaa gharama za ujenzi wa majengo, pamoja na kuandaa michoro ya kihandisi(structural drawings).
2. BARABARA
Tunasimamia utekelezaji wa barabara kwa kuzifanyia matengenezo mbalimbali kila mwaka, matengenezo hayo ni
MITAMBO NA UMEME.
Kitengo hiki kinafanya kazi zifuatazo
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: 027-2539603
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM