• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Afya
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Usafishaji na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
        • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti Ukimwi
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • miradi iliyokamilishwa
  • Machapisho
    • sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • mpango mkakakati
    • Riport mbalimbali
    • Form mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Utawala

HALMASHAURI YA WILAYA YA LONGIDO

OFISI YA MKURUGENZI MTENDAJI

IDARA YA UTUMISHI NA UTAWALA

MUUNDO WA HALMASHAURI NA HUDUMA ZITOLEWAZO NA OFISI YA UTUMISHI

MAELEZO MAFUPI WILAYA:

Halmashauri ya Wilaya ya Longido ni mojawapo ya Wilaya saba (6) zilizopo Mkoa wa Arusha ambapo nyingine ni Halamashauri ya Wilaya ya Arusha, Karatu, Meru, Monduli na Ngorongoro.

ENEO

Wilaya ya Longido ina eneo la Kilomita za Mraba __________ ambayo ni sawa na ______ya eneo lote la Mkoa wa Arusha.

IDADI YA WATU

Kwa mujibu wa Sensa ya watu na Makazi ya Mwaka 2012 Wilaya ya Longido ina jumla ya wakazi 123153 kwa Sensa ya 2012  142597 kwa makadirio ya 2017 ambapo wanawake ni _________na wanaume ni ______________Makabila makubwa  ni Wamasai kwa asilimia 90.

IDADI YA WATUMISHI

Halmashauri ya Wilaya ya Longido hadi kufikia Mwezi June 2017 ilikuwa na juml ya watumishi 1,117.

UTAWALA

Wilaya ina jimbo moja la Uchaguzi, Tarafa Nne (4), Kata Kumi na Nane (18),Vijiji arobaini na tisa (49) na Vitongoji  Mia moja na sabini na tano (175).

UONGOZI 

Wilaya ina Mbunge mmoja (1) wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Madiwani kumi na nane (18) wa kuchaguliwa na Madiwani  sita (6) wa kuteuliwa (Viti Maalum)

MUUNDO WA HALMASHAURI

Baraza la Madiwani; Chombo Kikuu cha kufanya maamuzi yote yahusuyo mambo mbalimbali ya Halmashauri

Kamati za Kudumu za Halmashauri; Kamati ya Fedha,Utawala na Mipango,Huduma za Jamii (Elimu, Afya na Maji), Uchumi, Ujenzi na Mazingira na Kamati Shirikishi ya Kudhibiti UKIMWI.

Bodi za Halmashauri; Bodi ya Ajira na Bodi ya Zabuni

Mkurugenzi Mtendaji, na Vitengo vinavyoripoti moja kwa moja;Kitengo cha Sheria,Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani, Uchaguzi na Ugavi.

Idara za Halmashauri; Idara ya Utumishi na Utawala,Idara ya Fedha na Biashara, Afya, Mipango,takwimu na Ufuatiliaji,Maendeleo ya Jamii,Kilimo na Umwagiliaji, Maji na Udhibiti takangumu, Usafi na Mazingira,Ujenzi na Zimamoto, Ardhi na Maliasili, Mifugo na Uvuvi Elimu Msingi na Ulimu Sekondari.

JUKUMU LA IDARA:

Jukumu la Msingi la Idara ya Utumishi na Utawala ni kusimamia matumizi bora yenye ufanisi ya Rasilimali watu katika kutoa huduma kwa kuhakikisha Rasilimali watu inatumiwa kutekeleza shughuli za Halmashauri kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na taratibu zilizopo.

Kazi zinazofanywa na Idara.

Ili kutimiza jukumu la msingi lililotajwa hapo juu Idara inatekekeza shughuli zifuatazo:-

  • Kuratibu masuala ya itifaki na mapokezi ya wageni;
  • Kuratibu ikama ya watumishi na Mishahara;
  • Kushughulikia stahili za watumishi na viongozi;
  • Kusimamia Ajira na nidhamu za watumishi na maadili ya viongozi;
  • Kufuatilia Masuala ya utawala Bora na Kuratibu Vikao vya Kisheria kwa Kamati za Kudumu za Halamashauri na Baraza la Madiwani
  • Kuratibu upatikanaji wa mafunzo ya watumishi na viongozi;
  • Kupokea, kusikiliza na kushughulikia kero na malalamiko ya ya wananchi kupitia dawati la Malalamiko na masanduku ya maoni.
  • Kuhakikisha Sheria, Kanuni na taratibu za miongozo ya Kiutumishi inatekelezwa ipasavyo.
  • Kuratibu matumizi ya magari na mitambo.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10% January 30, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • DED LONGIDO AFUNGUA MAFUNZO UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA

    May 14, 2025
  • MITUNGI 50 YATOLEWA KWA BABA NA MAMA LISHE WILAYANI LONGIDO

    April 17, 2025
  • WATAALAMU WA AFYA WATOA ELIMU KUHUSU MPOX KATIKA SHULE YA SEKONDARI ENGARENAIBOR NA KETUMBEINE

    March 21, 2025
  • WWF NA BBC MEDIA ACTION WATOA MAFUNZO KWA VIONGOZI WA JAMII JUU YA UHIFADHI WA MAZINGIRA

    March 21, 2025
  • View All

Video

Ujenzi wa madarasa 4 na Ofisi ya walimu shule shikizi Lopoloseki,
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Ufugaji
  • Elimu msingi Primary Education

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM