JEDWALI LA MIRADI ILIYOKAMILIKA – HALMASHAURI YA WILAYA YA LONGIDO (ROBO YA NNE, 2024/2025)
A. Miradi kwa Fedha za Bakaa (2023/2024)
| S/N
|
Idara
|
Jina la Mradi
|
Kiasi (Tsh)
|
Chanzo
|
Hali ya Utekelezaji
|
| 1
|
Kilimo, Mifugo na Uvuvi
|
Ujenzi wa choo – Soko la Ketumbeine
|
8,000,000
|
Mapato ya Ndani
|
Mradi umekamilika
|
| 2
|
Kilimo, Mifugo na Uvuvi
|
Ujenzi wa choo – Soko la Engarenaibor
|
8,000,000
|
Mapato ya Ndani
|
Mradi umekamilika
|
| 3
|
Elimu Msingi
|
Ununuzi wa madawati 26 – Shule ya KALE
|
2,600,000
|
Mfuko wa Jimbo
|
Umekamilika; madawati yanatumika
|
| 4
|
Afya, Ustawi Jamii na Lishe
|
Ujenzi wa vyoo 5 + vifaa – Zahanati ya Namanga
|
45,000,000
|
SRWSS
|
Mradi umekamilika
|
| 5
|
Afya, Ustawi Jamii na Lishe
|
Ujenzi wa vyoo 5 + vifaa – Zahanati ya Kimokouwa
|
45,000,000
|
SRWSS
|
Mradi umekamilika
|
| 6
|
Afya, Ustawi Jamii na Lishe
|
Kichomea taka – Hospitali ya Wilaya
|
65,000,000
|
SRWSS
|
Kimenunuliwa, sehemu umekamilika
|
| 7
|
Elimu Msingi
|
Vyoo 16 + mnara + tanki – Shule ya Engikareti
|
47,148,460
|
SRWSS
|
Umekamilika; marekebisho madogo yamefanyika
|
| 8
|
Elimu Msingi
|
Vyoo 17 + mnara + tanki – Shule ya Namanga
|
49,756,000
|
SRWSS
|
Mradi umekamilika
|
| 9
|
Afya, Ustawi Jamii na Lishe
|
Vyoo 5 + vifaa – Zahanati Engikaret
|
45,000,000
|
SRWSS
|
Mradi umekamilika
|
| 10
|
Elimu Msingi
|
Nyumba ya watumishi – Kimwati
|
92,410,106
|
TASAF
|
Umekamilika na inatumika
|
| 11
|
Elimu Msingi
|
Nyumba ya watumishi – Endirima
|
92,410,106
|
TASAF
|
Umekamilika na inatumika
|
| 12
|
Afya, Ustawi Jamii na Lishe
|
Nyumba ya watumishi – Zahanati Olchoronyokie
|
92,410,106
|
TASAF
|
Mradi umekamilika
|
| 13
|
Elimu Msingi
|
Nyumba ya watumishi – Emesera
|
92,410,106
|
TASAF
|
Umekamilika na inatumika
|
| 14
|
Elimu Sekondari
|
Bweni – Sekondari Mundarara
|
155,827,000
|
TASAF
|
Mradi umekamilika
|
| 15
|
Elimu Msingi
|
Madarasa 2 + vyoo 6 – Shule ya Kitarini
|
71,100,000
|
BOOST
|
Mradi umekamilika
|
| 16
|
Elimu Sekondari
|
Nyumba ya walimu – Sekondari Kamwanga
|
98,000,000
|
SEQUIP
|
Mradi umekamilika
|
| 17
|
Elimu Sekondari
|
Shule mpya – Sekondari Kimokouwa
|
584,280,029
|
SEQUIP
|
Mradi umekamilika
|
| 18
|
Elimu Sekondari
|
Mabweni 2, madarasa 4 + vyoo 10 – Sekondari Sinya
|
378,000,000
|
SEQUIP
|
Mradi umekamilika
|
| 19
|
Elimu Msingi
|
Umaliziaji nyumba walimu – Jeodong Engasurai
|
18,799,140
|
Mapato ya Ndani
|
Umekamilika; kazi za ziada zinaendelea
|
B. Miradi kwa Mapato ya Ndani (20%)
| S/N
|
Idara
|
Jina la Mradi
|
Kiasi (Tsh)
|
Chanzo
|
Hali ya Utekelezaji
|
| 1
|
Maendeleo ya Jamii
|
Mikopo – Vikundi Wanawake, Vijana, Wenye Ulemavu
|
159,646,000
|
Mapato ya Ndani
|
Mikopo imetolewa kwa walengwa
|
| 2
|
Elimu Sekondari
|
Kisima cha maji – Sekondari Mundarara
|
15,000,000
|
Mapato ya Ndani
|
Mradi umekamilika
|
| 3
|
Elimu Msingi
|
Matundu 10 vyoo – Shule ya Msingi Matale
|
10,000,000
|
Mapato ya Ndani
|
Vifaa viko kwenye eneo la mradi
|
| 4
|
Afya, Ustawi Jamii na Lishe
|
Ukarabati mionzi – Kituo Afya Ketumbeine
|
15,000,000
|
Mapato ya Ndani
|
Jengo limekamilika na linatumika
|
| 5
|
Utawala
|
Malipo madeni miradi ya maendeleo
|
34,794,000
|
Mapato ya Ndani
|
Madeni yamelipwa kwa kiasi kikamilifu
|
| 6
|
Utawala
|
Gari la Halmashauri
|
22,400,000
|
Mapato ya Ndani
|
Gari limenunuliwa na linatumika
|
| 7
|
Utawala
|
Ukamilishaji Ofisi Kijiji Armanie
|
10,000,000
|
Mapato ya Ndani
|
Upigaji rangi umekamilika
|
| 8
|
Elimu Sekondari
|
Ukamilishaji bwalo – Sekondari Longido Samia
|
350,000,000
|
Mapato ya Ndani
|
Ujenzi upo hatua ya mwisho
|
| 9
|
Elimu Msingi
|
Nyumba ya watumishi 3 in 1 – Shule ya Irkaswa
|
20,000,000
|
Mapato ya Ndani
|
Kazi imekamilika
|
| 10
|
Elimu Msingi
|
Madarasa 2 – Shule ya Engarenaibor
|
15,500,000
|
Mapato ya Ndani
|
Kazi kubwa imekamilika
|
Jumla ya Miradi Iliyokamilika: 29 Miradi
(19 kutoka fedha za bakaa + 10 kutoka mapato ya ndani)
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: 027-2539603
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.