• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu,Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mijinii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Usafishaji na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Uchaguzi
      • Maliasili na Utalii
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Rasilimali Asili na Hifadhi ya Mazingira
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Maliasili na uhifadhi wa mazingira
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Leseni
    • Mapato
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti UKIMWI
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Miundombinu, Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mijini

Hii ni idara mojawapo katika Halmashauri ya Longido. Idara inavitengo vitatu (3) navyo ni

  1. Majengo
  2. Barabara
  3. Mitambo na Umeme

Kazi zinazofanywa kwa kila kitengo ni kama inavyoonyeshwa hapa chini.

  1. Kusimamia ujenzi wa majengo mbalimbali ya taasisi na watu binafsi

Majengo ya Serikali tunasimamia ujenzi wa shule za Sekondari, shule za Msingi , Ofisi za kata, Hospital, Zahanati na majengo ya secta mbalimbali za serikali

B. Utoaji vibali vya ujenzi kwa taasisi na watu binafsi wanaojenga katika halmashauri ya Mji     Kibaha   vibali vinatolewa kwa wale waliopimiwa viwanja na ambao hawajapimiwa. .

C.  Kutoa ushauri wa kiufundi katika masuala ya ujenzi

Tunatoa ushauri wa kitaalamu pamoja na ukaguzi wa ramani mbalimbali za watu wanaotaka kujenga nyumba bora na za kisasa.

D. Tunatoa huduma ya kuchora ramani pamoja na kufanya makisio yaani kuandaa gharama za ujenzi wa majengo, pamoja na kuandaa michoro ya kihandisi(structural drawings).

2. BARABARA

Tunasimamia utekelezaji wa barabara kwa kuzifanyia matengenezo mbalimbali kila mwaka, matengenezo hayo ni

  1. Matengenezo ya mara kwa mara
  2. Matengenezo ya sehemu korofi
  3. Matengenezo ya muda maalum
  4. Ufunguzi wa barabara mpya katika mitaa na katika maeneo yaliyopimwa viwanja vipya.

MITAMBO NA UMEME.

Kitengo hiki kinafanya kazi zifuatazo

  1. Usimamizi wa kazi za utengenezaji barabar kwa kutumia mitambo wa  Halmazhauri
  2. Kuratibu ukodishaji wa mtambo kwa watu binafsi
  3. Kusimamia uingizaje wa Umeme katika majengo mapya ya Serikali
  4. Kufanya matengenezo ya umeme katika majengo ya Serikali yaliyo na umeme

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA June 13, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA LONGIDO YAADHIMISHA WIKI YA UNYONYESHAJI KWA MAFANIKIO MAKUBWA

    August 07, 2025
  • WASIMAMIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA WILAYANI LONGIDO WALA KIAPO CHA UADILIFU

    August 05, 2025
  • SHIRIKA LA MONDO TANZANIA LAKABIDHI MAGODORO 32 KWA WANANFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUMU SHULE YA MSINGI LONGIDO

    July 30, 2025
  • LONGIDO YANG'ARA KITAIFA YAPATA TUZO YA UFAULU KIDATO CHA PILI

    July 11, 2025
  • View All

Video

LONGIDO YASHIRIKI KIKAMILIFU KWENYE MAONESHO YA NANE NANE YANAYOFANYIKA VIWANJA VYA THEMI - NJIRO ARUSHA
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.