• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu,Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mijinii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Usafishaji na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Uchaguzi
      • Maliasili na Utalii
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Rasilimali Asili na Hifadhi ya Mazingira
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Maliasili na uhifadhi wa mazingira
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Leseni
    • Mapato
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti UKIMWI
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Huduma zetu-AFYA

HUDUMA ZA AFYA, USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE.

Halmashauri ya Wilaya ya Longido inatekeleza majukumu ya msingi ya kutoa huduma bora za afya kwa wakazi wake kupitia vituo mbalimbali vya kutolea huduma za afya vilivyopo wilayani. Huduma hizi zinalenga kuhakikisha kuwa wananchi wanapata huduma za kinga, tiba, na uhamasishaji wa afya kwa wakati na kwa ubora unaostahili.

Vituo vya Afya Vilivyopo:

Hadi kufikia mwaka 2025, huduma za afya zinapatikana kupitia:

  • Hospitali ya Wilaya ya Longido – inatoa huduma za msingi na za rufaa kwa wagonjwa kutoka kata mbalimbali za Wilaya ya Longido.
  • Vituo vya Afya viko 6 – vilivyopo katika maeneo ya Kimokouwa, Engarenaibor, Ketumbeine, Olmology, Gelailumbwa na Namanga, na vinatoa huduma za matibabu.
  • Zahanati ziko 33 – zilizosambaa katika kata mbalimbali za Wilaya, zikitoa huduma za msingi za afya na matibabu.
  • Makao maalumu (nyumba salama) iko 1- nyumba  ya watoto wenye uhitaji maalumu katika Wilaya ya Longido.

Aina za Huduma Zinazotolewa:

  • Huduma ya mama na mtoto (chanjo, kliniki ya wajawazito na watoto wachanga)
  • Huduma za dharura na rufaa
  • Huduma za matibabu ya kawaida na ya wagonjwa wa nje
  • Huduma ya upimaji na tiba ya VVU na magonjwa sugu kama kisukari, shinikizo la damu n.k
  • Huduma ya afya ya akili na ushauri nasaha
  • Huduma za kujifungua kwa akina mama wajawazito.
  • Elimu ya afya kwa jamii
  • Udhibiti wa magonjwa ya mlipuko na ya kuambukiza.
  • Huduma za maabara na vipimo.
  • Huduma za Wagonjwa mahututi (ICU).
  • Huduma za Macho.
  • Huduma za upasuaji.
  • Huduma za kuhifadhi maiti (Mortuary services).
  • Huduma za mionzi.
  • Huduma za Lishe na ushauri wa ulaji wa vyakula.
  • Huduma za Meno.
  • Huduma za kliniki kwa magonjwa yasiyo ambukiza (NCDs).
  • Huduma za ustawi wa jamii.

Mikakati ya Kuboresha Huduma za Afya kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026:

  1. Kukamilisha ujenzi Hospitali ya Wilaya, Vituo vya Afya pamoja na zahanati mpya katika vijiji na kata zisizo na huduma za afya.
  2. Kuongeza upatikanaji wa dawa muhimu na vifaa tiba katika vituo vyote.
  3. Kuwajengea uwezo wataalamu wa afya kwa mafunzo ya mara kwa mara.
  4. huduma za afya ya msingi kupitia kampeni za uhamasishaji.
  5. Kuboresha huduma za afya ya mama na mtoto kwa kupunguza vifo vya uzazi.
  6. Kuanzisha na kuimarisha mifumo ya usimamizi wa taarifa za afya kwa kutumia TEHAMA.
  7. Kuongeza huduma za upimaji wa magonjwa yasiyoambukiza na ushauri nasaha.
  8. Kufanikisha utoaji wa huduma rafiki kwa vijana na makundi maalumu.
  9. Kuimarisha huduma za afya ya jamii kupitia Watoa Huduma wa Afya Ngazi ya Jamii (CHW).
  10. Kushirikiana na wadau wa maendeleo ili kuongeza rasilimali kwa ajili ya miradi ya afya.

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA June 13, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA LONGIDO YAADHIMISHA WIKI YA UNYONYESHAJI KWA MAFANIKIO MAKUBWA

    August 07, 2025
  • WASIMAMIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA WILAYANI LONGIDO WALA KIAPO CHA UADILIFU

    August 05, 2025
  • SHIRIKA LA MONDO TANZANIA LAKABIDHI MAGODORO 32 KWA WANANFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUMU SHULE YA MSINGI LONGIDO

    July 30, 2025
  • LONGIDO YANG'ARA KITAIFA YAPATA TUZO YA UFAULU KIDATO CHA PILI

    July 11, 2025
  • View All

Video

LONGIDO YASHIRIKI KIKAMILIFU KWENYE MAONESHO YA NANE NANE YANAYOFANYIKA VIWANJA VYA THEMI - NJIRO ARUSHA
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.