• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu,Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mijinii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Usafishaji na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Uchaguzi
      • Maliasili na Utalii
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Rasilimali Asili na Hifadhi ya Mazingira
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Maliasili na uhifadhi wa mazingira
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Leseni
    • Mapato
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti UKIMWI
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Fedha na Uhasibu

UTANGULIZI

Idara ya Fedha ni miongoni mwa idara muhimu katika Halmashauri, inayoshughulika na usimamizi wa ukusanyaji wa mapato na matumizi ya fedha. Idara hii pia hutoa ushauri wa kitaalamu kuhusu matumizi bora ya rasilimali za kifedha kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu za Serikali.

Idara ya Fedha imegawanyika katika sehemu tatu kuu, ambazo ni:

  1. Sehemu ya Matumizi
  2. Sehemu ya Mapato
  3. Sehemu ya Taarifa za Mwisho za Hesabu za Halmashauri (Final Account)

1. SEHEMU YA MATUMIZI

Majukumu ya sehemu hii ni:

  • Kuandaa malipo yote ya Halmashauri.
  • Kuandaa bajeti ya matumizi ya kawaida.
  • Kuhakikisha upatikanaji wa nyaraka zote muhimu za malipo kabla na baada ya malipo kufanyika.
  • Kuhakikisha taratibu na sheria za fedha zinafuatwa kikamilifu.
  • Kuhifadhi majalada ya kumbukumbu ya malipo yote yaliyofanyika.
  • Kufanya usuluhisho wa kimahesabu kati ya taarifa za benki na vitabu vya Halmashauri.
  • Kuandaa taarifa za kifedha na kuziwasilisha katika mamlaka husika kwa wakati.

2. SEHEMU YA MAPATO

Majukumu ya sehemu hii ni:

  • Kusimamia ukusanyaji wa mapato yote ya Halmashauri kwa mujibu wa sheria na miongozo.
  • Kuweka mfumo thabiti wa udhibiti wa mapato.
  • Kuweka fedha taslimu na hundi benki kwa wakati.
  • Kuandaa na kuwasilisha ripoti mbalimbali za mapato.
  • Kuweka utaratibu rahisi na salama wa malipo ya fedha taslimu kwa wateja.
  • Kubuni vyanzo vipya vya mapato kwa ajili ya kuongeza mapato ya Halmashauri.

3. SEHEMU YA TAARIFA ZA KIMAHESABU (FINAL ACCOUNT)

Majukumu ya sehemu hii ni:

  • Kuandaa usuluhisho wa taarifa kati ya cashbook ya Halmashauri na taarifa za benki.
  • Kujibu hoja za ukaguzi wa hesabu.
  • Kuandaa taarifa za mapato na matumizi ya Halmashauri.
  • Kutunza vitabu vya fedha (cashbook).
  • Kuandaa vitabu vya mwisho wa mwaka wa fedha vya Halmashauri kwa mujibu wa miongozo ya Serikali.


MALENGO YA IDARA YA FEDHA KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025

Katika mwaka wa fedha 2024/2025, Idara ya Fedha ya Halmashauri inalenga kutekeleza malengo yafuatayo:

  1. Kuongeza ukusanyaji wa mapato ya ndani kwa asilimia angalau 20 kupitia usimamizi madhubuti na uboreshaji wa mifumo ya ukusanyaji.
  2. Kubuni na kuendeleza vyanzo vipya vya mapato, hasa kutoka katika sekta za biashara, ardhi, na huduma za kijamii.
  3. Kuhakikisha maandalizi ya bajeti yanazingatia vipaumbele vya mpango wa maendeleo wa halmashauri, kwa kuzingatia mwongozo wa bajeti uliotolewa na serikali kuu.
  4. Kuwasilisha kwa wakati taarifa zote za kifedha (quarterly reports, final accounts, n.k.) kwa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT), TAMISEMI, na wadau wengine.
  5. Kuimarisha usimamizi wa matumizi ya fedha kwa kuhakikisha kuwa malipo yote yanafanyika kwa kuzingatia taratibu na sheria za fedha.
  6. Kujibu kwa wakati na kikamilifu hoja zote za ukaguzi kutoka kwa mkaguzi wa ndani na wa nje.
  7. Kutoa elimu na mafunzo kwa watumishi wa idara ya fedha kuhusu matumizi ya mifumo ya kielektroniki kama vile MUSE,TAUSI
  8. Kuhakikisha usuluhisho wa taarifa za fedha kati ya benki na vitabu vya fedha unafanyika kila mwezi, na kuweka kumbukumbu sahihi.
  9. Kuongeza matumizi ya TEHAMA katika shughuli za fedha, ikiwa ni pamoja na kuhamasisha ulipaji wa huduma kwa njia ya kielektroniki.
  10. Kuboresha mazingira ya kazi ya watumishi wa idara, ikiwa ni pamoja na upatikanaji wa vifaa vya ofisi na nyaraka muhimu.

WATUMISHI WALIO CHINI YA IDARA YA FEDHA :

  1. Gregory Hotay - Mkuu wa Idara 
  2. Anitha Jason Biteya
  3. Cuthbert Njau
  4. Deo Miti
  5. Diana Chembe
  6. Elizabeth Adam Mabula
  7. Exaud Mbise
  8. Gaudence Saleka
  9. Juma Said Nyangasa
  10. Lomayani Laroya
  11. Loveness Mwanga
  12. Mary Mbuya
  13. Rajabu Wahone
  14. Safina Ishengoma
  15. Thomas Mayaya
  16. Theogenes Laurent

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA June 13, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA LONGIDO YAADHIMISHA WIKI YA UNYONYESHAJI KWA MAFANIKIO MAKUBWA

    August 07, 2025
  • WASIMAMIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA WILAYANI LONGIDO WALA KIAPO CHA UADILIFU

    August 05, 2025
  • SHIRIKA LA MONDO TANZANIA LAKABIDHI MAGODORO 32 KWA WANANFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUMU SHULE YA MSINGI LONGIDO

    July 30, 2025
  • LONGIDO YANG'ARA KITAIFA YAPATA TUZO YA UFAULU KIDATO CHA PILI

    July 11, 2025
  • View All

Video

LONGIDO YASHIRIKI KIKAMILIFU KWENYE MAONESHO YA NANE NANE YANAYOFANYIKA VIWANJA VYA THEMI - NJIRO ARUSHA
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.