• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu,Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mijinii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Usafishaji na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Uchaguzi
      • Maliasili na Utalii
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Rasilimali Asili na Hifadhi ya Mazingira
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Maliasili na uhifadhi wa mazingira
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Leseni
    • Mapato
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti UKIMWI
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Huduma zetu-MIFUGO

HUDUMA ZA MIFUGO ZINAZOTOLEWA NA HALMASHAURI YA WILAYA YA LONGIDO

Halmashauri ya Wilaya ya Longido kupitia Idara ya Mifugo inatoa huduma mbalimbali kwa wafugaji kwa lengo la kuboresha afya ya mifugo, kuongeza uzalishaji wa mifugo na bidhaa zake, pamoja na kuongeza kipato kwa wananchi. Huduma hizo ni pamoja na:

1. Huduma za Chanjo na Tiba

  • Kutoa chanjo dhidi ya magonjwa hatari kama vile Kimeta, Homa ya Mapafu ya Ng’ombe (CBPP), Chambavu, na Kichaa cha Mbwa.
  • Tiba ya magonjwa ya kawaida kwa kutumia madawa ya mifugo.
  • Kutoa huduma za ufuatiliaji wa milipuko ya magonjwa ya mifugo.

2. Huduma za Ugani

  • Ushauri wa kitaalamu kwa wafugaji kuhusu mbinu bora za ufugaji.
  • Mafunzo ya ufugaji bora kwa vikundi vya wafugaji na wananchi kwa ujumla.
  • Kutoa elimu juu ya lishe bora ya mifugo.

3. Huduma za Tiba ya Majosho

  • Usimamizi wa majosho ya mifugo yaliyopo vijijini.
  • Upuliziaji wa dawa dhidi ya kupe na kuzuia magonjwa ya ngozi.

4. Huduma za Tiba ya Ndani (Deworming)

  • Kutoa dawa za kuua minyoo ya ndani kwa wanyama.

5. Huduma za Uhimilishaji na Uzalishaji Bora

  • Uhimilishaji wa ng’ombe kwa kutumia mbegu bora (Artificial Insemination - AI).
  • Ushauri juu ya kuchagua madume bora kwa ajili ya uzalishaji.

 

6. Huduma za Uboreshaji wa Mazingira ya Mifugo

  • Kusaidia ujenzi wa malambo na mabwawa ya kunyweshea mifugo.
  • Ukarabati wa malisho ya mifugo na kusimamia maeneo ya malisho.

7. Huduma za Usajili wa Machinjio

  • Kusimamia usafi wa machinjio na kukagua mifugo kabla ya kuchinjwa.
  • Ukaguzi wa nyama kwa ajili ya usalama wa walaji.

8. Huduma za Masoko ya Mifugo

  • Kuratibu na kusimamia minada ya mifugo.
  • Kusaidia wafugaji kupata taarifa za bei na mahitaji ya soko la mifugo.

9. Udhibiti wa Magonjwa ya Mlipuko

  • Kufanya doria na vikao vya ujirani mwema na Wataalam wa upande wa Jamhuri ya Kenya,
  • Uanzishwaji wa vizuizi (quarantine) inapohitajika.

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA June 13, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA LONGIDO YAADHIMISHA WIKI YA UNYONYESHAJI KWA MAFANIKIO MAKUBWA

    August 07, 2025
  • WASIMAMIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA WILAYANI LONGIDO WALA KIAPO CHA UADILIFU

    August 05, 2025
  • SHIRIKA LA MONDO TANZANIA LAKABIDHI MAGODORO 32 KWA WANANFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUMU SHULE YA MSINGI LONGIDO

    July 30, 2025
  • LONGIDO YANG'ARA KITAIFA YAPATA TUZO YA UFAULU KIDATO CHA PILI

    July 11, 2025
  • View All

Video

LONGIDO YASHIRIKI KIKAMILIFU KWENYE MAONESHO YA NANE NANE YANAYOFANYIKA VIWANJA VYA THEMI - NJIRO ARUSHA
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.