• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu,Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mijinii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Usafishaji na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Uchaguzi
      • Maliasili na Utalii
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Rasilimali Asili na Hifadhi ya Mazingira
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Maliasili na uhifadhi wa mazingira
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Leseni
    • Mapato
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti UKIMWI
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Usimamizi wa Ununuzi

Kitengo cha Ununuzi na Ugavi – Halmashauri ya Wilaya ya Longido

Karibu kwenye Kitengo cha Ununuzi na Ugavi (Procurement Management Unit - PMU) cha Halmashauri ya Wilaya ya Longido. Kitengo hiki ni mhimili muhimu wa usimamizi wa rasilimali kupitia Ununuzi wa bidhaa, huduma, na kazi mbalimbali ndani ya Halmashauri. Kinafanya kazi kwa mujibu wa Sheria ya Ununuzi wa Umma No. 5 ya mwaka 2023 kama inavosomeka katika kifungu cha 40(a)(b) Majukumu ya Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi "Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi (PMU) kitatekeleza shughuli zote za ununuzi kwa niaba ya taasisi nunuzi, ikiwa ni pamoja na kuandaa nyaraka, kuratibu michakato ya zabuni, na kusimamia mikataba ya manunuzi ya umma.”, kanuni zake, miongozo wa  taratibu za Ununuzi na Ugavi katika vituo vya kutolea huduma, na miongozo ya Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma(PPRA) pamoja na usismaizi wa bodi ya wataalamu(PSPTB).

  • Majukumu ya Kitengo kwa upande wa Ununuzi
  • kutekeleza maamuzi na maelekezo ya afisa masuuli na Bodi ya Zabuni;
  •  kupanga shughuli za ununuzi na uondoshaji mali;
  • kupendekeza taratibu za ununuzi na uondoshaji mali;
  • kufanya mapitio ya mahitaji kutoka idara tumizi ili kuhakikisha yanaendana na misingi na viwango vya ununuzi wa umma;
  •  kuandaa nyaraka za zabuni;
  • kuandaa matangazo ya fursa za zabuni;
  • kushirikiana na idara tumizi wakati wa kupendekeza kamati za tathmini na majadiliano;
  • kupitia taarifa za tathmini na majadiliano na kupendekeza utoaji wa tuzo ya mkataba kwa afisa masuuli au bodi ya zabuni;
  • kuandaa nyaraka za mkataba;
  • kutoa nyaraka za mkataba
  • kushirikiana na idara tumizi kufanya mapitio ya maombi yote kuhusiana na mabadiliko au nyongeza ya mikataba inayoendelea na kumshauri afisa masuuli;
  • kusimamia na kuhakikisha ubora katika upatikanaji wa bidhaa, huduma na kazi za ujenzi;
  • kumshauri afisa masuuli katika masuala yote yanayohusu ununuzi na uondoshaji mali;
  • kutunza na kuhifadhi kumbukumbu za ununuzi na uondoshaji mali;
  • kutunza orodha au rejesta ya mikataba ya ununuzi iliyoingiwa;
  • kuandaa taarifa za kila mwezi za Bodi ya Zabuni;
  • kuandaa na kuwasilisha katika kikao cha menejimenti taarifa za robo mwaka za utekelezaji wa mpango wa ununuzi wa mwaka;
  • kuratibu shughuli za ununuzi na uondoshaji mali ndani ya taasisi nunuzi; na
  • kuandaa taarifa nyingine kadri zinavyoweza kuhitajika; na
  • Majukumu ya Kitengo kwa upande wa Ugavi
  •  
  • kumshauri afisa masuuli katika masuala yote yanayohusu usimamizi wa ugavi;
  • kusimamia utunzaji, uhifadhi na usambazaji wa bidhaa, vifaa au mali;
  • kuhakikisha na kupanga mahitaji ya bidhaa, vifaa au mali;
  • kuhakikisha bidhaa na vifaa vinaongezwa kwa wakati kabla ya kuisha;
  • kupokea, kuweka kumbukumbu na kutoa bidhaa, vifaa na mali zilizonunuliwa;
  • kutoa taarifa kwa afisa masuuli zilizoidhinishwa;
  • kutunza na kuhuisha kumbukumbu za bidhaa, vifaa au mali za taasisi nunuzi;
  • kuratibu shughuli zinazohusu usimamizi wa bidhaa, vifaa au mali;
  • kusimamia uagizaji wa mahitaji ya taasisi nunuzi na viwango na idadi ya bidhaa, vifaa au mali;
  • kufanya uhakiki wa mara kwa mara na hesabu ya mali na vifaa ya mwaka na kutoa taarifa ya tofauti zozote zitakazobainika kati ya idadi halisi iliyopo na idadi inayoonekana kwenye kumbukumbu;
  •  kuandaa taarifa za mara kwa mara kuhusu bidhaa, vifaa au mali zisizotumika, zisizohitajika, zilizooisha muda wake na zilizoharibika;
  • kupendekeza kwa afisa masuuli, mfumo unaofaa kwa ajili ya utunzaji na usimamizi wa bidhaa, vifaa au mali; na
  • kufuatilia mara kwa mara bidhaa, vifaa au mali za taasisi nunuzi kwa lengo la kubaini matumizi mabaya ya mali na vifaa na kupendekeza kwa afisa masuuli hatua stahiki za kuchukuliwa. kuhusiana na mabadiliko yoyote ya hali ya bidhaa, vifaa au mali;

Uongozi wa Kitengo:

Kitengo hiki kinaongozwa na Mkuu wa Kitengo cha Ununuzi na Ugavi wa Wilaya, ambaye anawajibika kuhakikisha taratibu zote za Ununuzi na Ugavi zinafanyika kwa mujibu wa sheria na maadili ya utumishi wa umma.

Majina Ya Watumishi Katika Kitengo Cha Ununuzi Na Ugavi katika Halmashauri ya Wilaya ya Longido.

  • Joel Mtango          - Mkuu wa kitengo cha Ununuzi na Ugavi
  • Godbless David     -Afisa Ununuzi II
  • Omary Mshana      -Afisa Ugavi Msaidizi
  • Jumanne Simkoko - Afisa Ugavi Msaidizi
  • Isaka Kihongosi     -Afisa Ugavi II
  • Leila Iddi                - Afisa Ununuzi II
  • Tumaini Mwijage   - Afisa Ununuzi II
  • Stephen Swai          -Afisa Ununuzi Msaidizi
  • Daudi Kabega         -Afisa Ugavi
  • Severine Sumbi       -Afisa Ugavi II
  • Esther Odhiambo     -Afisa Ugavi II
  • Lucy Assey              -Afisa Ununuzi II
  • Letcia Chemu          -Afisa Ununuzi II

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA June 13, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA LONGIDO YAADHIMISHA WIKI YA UNYONYESHAJI KWA MAFANIKIO MAKUBWA

    August 07, 2025
  • WASIMAMIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA WILAYANI LONGIDO WALA KIAPO CHA UADILIFU

    August 05, 2025
  • SHIRIKA LA MONDO TANZANIA LAKABIDHI MAGODORO 32 KWA WANANFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUMU SHULE YA MSINGI LONGIDO

    July 30, 2025
  • LONGIDO YANG'ARA KITAIFA YAPATA TUZO YA UFAULU KIDATO CHA PILI

    July 11, 2025
  • View All

Video

LONGIDO YASHIRIKI KIKAMILIFU KWENYE MAONESHO YA NANE NANE YANAYOFANYIKA VIWANJA VYA THEMI - NJIRO ARUSHA
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.