• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu,Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mijinii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Usafishaji na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Uchaguzi
      • Maliasili na Utalii
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Rasilimali Asili na Hifadhi ya Mazingira
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Maliasili na uhifadhi wa mazingira
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Leseni
    • Mapato
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti UKIMWI
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Elimu Msingi

ELIMU YA AWALI NA MSINGI

Lengo la Idara

Lengo la Idara ya Elimu ya Awali na Msingi ni kupanga na kusimamia utekelezaji wa sheria, sera, nyaraka na miongozo kuhusu utoaji wa Elimu ya Awali, Msingi, Mahitaji Maalumu na Elimu Nje ya Mfumo Rasmi. Ili kufikia lengo hilo Idara inatekeleza majukumu yafuatayo:-

  1. Kupanga upatikanaji, usambazaji na matumizi ya rasilimali katika shule za msingi;
  2. Kusimamia upimaji endelevu na mitihani ya taifa ya shule za msingi;
  3. Kusimamia utoaji wa elimu ya watu wazima na elimu isiyo rasmi katika ngazi ya awali na msingi;
  4. Kuratibu elimu ya stadi za maisha katika shule za msingi;
  5. Kufanya tathmini ya mahitaji ya Elimu Maalumu, Elimu ya Watu Wazima na Elimu Nje ya Mfumo Rasmi;
  6. Kutoa ushauri kuhusu uanzishaji na uendelezaji wa vituo vya Elimu ya Watu Wazima na Elimu Nje ya Mfumo Rasmi;
  7. Kusimamia utekelezaji wa mipango na programu za elimu ya msingi;
  8. Kuunda na kutunza kanzidata ya elimu ya awali na msingi na
  9. Kuratibu na kusimamia shughuli za michezo katika shule za msingi.
  10. Idara hii itaongozwa na Mkuu wa Idara na itajumuisha sehemu nne (4) kama ifuatavyo:-

Sehemu ya Taaluma;

Sehemu ya Vifaa na Takwimu;

Sehemu ya Elimu ya Mahitaji Maalumu na

Sehemu ya Elimu ya Watu Wazima na Elimu Nje ya Mfumo Rasmi.

Sehemu ya Taaluma

Sehemu hii itafanya shughuli zifuatazo: -

  1. Kuratibu utekelezaji wa sera, mipango, nyaraka na miongozo ya elimu ya Awali na Msingi katika ngazi ya shule;
  2. Kuratibu na kusimamia usimamizi wa upimaji endelevu wa shule na mitihani ya kitaifa ya darasa la Pili (STNA), darasa la Nne (SFNA) na darasa la Saba (PSLE);
  3. Kufuatilia na kutathmini utekelezaji wa mipango ya elimu ya awali na msingi;
  4. Kutayarisha taarifa za utekelezaji wa mipango na programu za maendeleo ya elimu na
  5. Kuratibu utoaji wa elimu kwa ajili ya kujitegemea na kusimamia shughuli/mradi wa kujiingizia kipato katika shule za Msingi.

Sehemu hii itaongozwa na mkuu wa sehemu.

Sehemu ya Vifaa na Takwimu

Sehemu hii itafanya shughuli zifuatazo: -

  1. Kukusanya, kuchambua na kutafsiri takwimu za elimu ya awali na msingi;
  2. Kuratibu upatikanaji, usambazaji na matumizi ya rasilimali za elimu katika shule za msingi;
  3. Kuandaa takwimu za uandikishaji na vifaa vya shule;
  4. Kutayarisha taarifa za utekelezaji wa maendeleo ya elimu na
  5. Kubainisha mahitaji ya rasilimali za shule katika Halmashauri.

Sehemu hii itaongozwa na mkuu wa sehemu.

Sehemu ya Elimu ya Mahitaji Maalumu

Sehemu hii itafanya shughuli zifuatazo:-

  1. Kuandaa na kusimamia mipango ya utekelezaji wa elimu maalumu katika ngazi ya elimu ya awali na msingi;
  2. Kutambua watoto wenye mahitaji maalumu na kuwapangia shule;
  3. Kukusanya taarifa za wanafunzi wenye mahitaji maalumu na kushauri ipasavyo  na
  4. Kuratibu upatikanaji, usambazaji na matumizi ya rasilimali kwa ajili ya elimu maalumu.

Sehemu hii itaongozwa na mkuu wa sehemu.

Sehemu ya Elimu ya Watu Wazima na Elimu Nje ya Mfumo Rasmi

Sehemu hii itafanya shughuli zifuatazo: -

  1. Kuandaa na kusimamia mipango ya utekelezaji wa Elimu ya Watu Wazima na Elimu Nje ya Mfumo Rasmi katika ngazi ya elimu ya awali na msingi;
  2. Kuratibu elimu ya stadi za maisha;
  3. Kufanya tathmini ya mahitaji ya Elimu ya Watu Wazima na Elimu Nje ya Mfumo Rasmi;
  4. Kushauri kuhusu uanzishwaji na uendelezaji wa vituo vya mafunzo ya Elimu ya Watu Wazima na Elimu Nje ya Mfumo Rasmi na
  5. Kuratibu upatikanaji, usambazaji na matumizi ya rasilimali kwa ajili ya Elimu ya Watu Wazima na Elimu Nje ya Mfumo Rasmi.

Sehemu hii itaongozwa na mkuu wa sehemu.

Idara inasimamia shule za msingi 75 ikiwa shule 59 ni za serikali na shule 16 ni za watu binafsi. Shule zote zina jumla ya wanafunzi 38,734 ikiwa wavulana ni 20,687 na wasichana 18,047.

Jedwali A. Takwimu za Wanafunzi na Walimu

 
NGAZI
SERIKALI
BINAFSI
 

WALIMU

WAV
WAS
JML
WAV
WAS
JML
AWALI
2,899
2,550
5,449
570
332
902
 
SERIKALI
 
BINAFSI
MSINGI
16,104
14,173
30,277
1,114
992
2,106
JUMLA
19,003
16,723
35,726
1,684
1324
3,008
456
182

Uandikishaji

Idara ya Elimu ya Awali na Msingi imeendelea kuratibu uandikishaji wa wanafunzi wa elimu ya awali na darasa la kwanza kama ifuatavyo:-

Jedwali B. Uandikishaji wa Wanafunzi wa Awali

 

MWAKA

MAOTEO

WALIOANDIKISHWA

ASILIMIA

WAV
WAS
JML
WAV
WAS
JML
WAV
WAS
JML

2024

4,879
4,302
9,181
4,216
3,704
7,920

86

86

86

2025

3137
3054
6191
3195
2902
6097

102

95

98

 

 

Jedwali C. Uandikishaji wa Wanafunzi wa Darasa la Kwanza

 

MWAKA

MAOTEO

WALIOANDIKISHWA

ASILIMIA

WAV
WAS
JML
WAV
WAS
JML
WAV
WAS
JML

2024

3,389
2,728
6,117
3,001
2,403
5,404

89

88

88.5

2025

3,992
3,945
7,867
3,454
3,399
6,853

86

86

86

Jedwali D. Orodha ya Shule Kikata

NA

JINA LA KATA

NA

JINA LA SHULE
MMILIKI

1

LONGIDO

1

LONGIDO
SERIKALI

2

ABERNATHY
BINAFSI

3

MELOC
BINAFSI

4

LONGIDO MODERN
BINAFSI

2

ORBOMBA

5

ORBOMBA
SERIKALI

6

OLTEPES
SERIKALI

7

RANCH
SERIKALI

8

NAIBORSOIT
SERIKALI

9

OLDORKO
SERIKALI

10

KING DAVID
BINAFSI

3

KIMOKOUWA

11

KIMOKOUWA
SERIKALI

12

EORENDEKE
SERIKALI

13

SIKARDA
SERIKALI

14

JEONDONG IMATIANI
SERIKALI

15

MAASAI PR AND PS
BINAFSI

16

ST THERESA
BINAFSI

4

NAMANGA

17

NAMANGA
SERIKALI

18

BUGURUNI
SERIKALI

19

GREEN EDEN
BINAFSI

5

ENGARENAIBOR

20

ENGARENAIBOR
SERIKALI

21

NGOSWAK
SERIKALI

22

SINONIK
SERIKALI

23

KIMWATI
SERIKALI

24

ORMEE
BINAFSI

25

KARAO
BINAFSI

26

MAIROWA INTERGRITY
BINAFSI

6

MATALE

27

MATALE
SERIKALI

28

IRNG’ONG’WEN
SERIKALI

29

EMURUTOTO
SERIKALI

30

EMESERA
SERIKALI

31

ENDUATA
BINAFSI

7

MUNDARARA

32

MUNDARARA
SERIKALI

33

KITARINI
SERIKALI

34

LOOSIKITO
SERIKALI

35

LESING’ITA
SERIKALI

36

RUBY
BINAFSI

8

KETUMBEINE

37

KETUMBEINE
SERIKALI

38

LOPOLOSEK
SERIKALI

39

MANGULA
SERIKALI

9

GELAI LUMBWA

40

GELAI LUMBWA
SERIKALI

41

ILCHANG’ITSAPUKIN
SERIKALI

42

WOSIWOSI
SERIKALI

10

GELAI MEIRUGOI

43

GELAI BOMBA
SERIKALI

44

LOONDOLWA
SERIKALI

45

ENDIRIMA
SERIKALI

46

MAGADINI
SERIKALI

11

ILOIRIENITO

47

ILOIRIENITO
SERIKALI

48

LOSIRWA
SERIKALI

49

NAADARE
SERIKALI

12

ELANG’ATADAPASH

50

ELANG’ATADAPASH
SERIKALI

51

OLCHORONYOKIE
SERIKALI

52

SOKON
SERIKALI

13

NOONDOTO

53

NOONDOTO
SERIKALI

54

ENGUSERO
SERIKALI

14

ENGIKARET

55

ENGIKARET
SERIKALI

56

EMBALWA
SERIKALI

57

KISERIAN
SERIKALI

58

JEONDONG ENGASURAI
SERIKALI

59

NAMELOK
BINAFSI

60

NEW VISION ENGIKARET
BINAFSI

15

TINGATINGA

61

TINGATINGA
SERIKALI

62

EMBONG’ET
SERIKALI

63

NGEREYANI
SERIKALI

64

ENGONGOSUNYAI
SERIKALI

65

MAASAI LAND
BINAFSI

16

SINYA

66

SINYA
SERIKALI

17

OLMOLOG

67

OLMOLOG
SERIKALI

68

ELERAI
SERIKALI

69

OLMOTI
SERIKALI

70

LERANG’WA
SERIKALI

71

ST MARTIN DE PORRES
BINAFSI

18

KAMWANGA

72

KAMWANGA
SERIKALI

73

IRKASWA
SERIKALI

74

IRKASWA B
SERIKALI

75

KITENDEN
SERIKALI

Jedwali E. Hali ya Miundombinu na Samani – Shule za Serikali

NA

AINA
MAHITAJI
UPATIKANAJI
UPUNGUFU
ASILIMIA

1

VYUMBA VYA MADARASA

755

516

239

32

2

MATUNDU YA VYOO

1399

756

643

46

3

MADAWATI

15461

7105

8356

54

4

NYUMBA ZA WALIMU

456

202

254

56

Jedwali F. Maendeleo ya Kitaaluma PSLE

 

MWAKA

WALIOSAJILIWA
WALIOFANYA
WALIOFAULU
 
WASTANI
 
ASILIMIA
WV
WS
JML
WV
WS
JML
WV
WS
JML

2022

1313
1103
2416
1292
1095
2387
922
754
1676
154.34
70.21

2023

1561
1359
2920
1533
1354
2887
1105
1035
2140
156.80
74.13

2024

1537
1441
2978
1523
1434
2957
1127
1100
2227
159.51
75.31

Jedwali G. Maendeleo ya Kitaaluma SFNA 

 

MWAKA

WALIOSAJILIWA
WALIOFANYA
WALIOFAULU
 
WASTANI
 
ASILIMIA

WV

WS

JML

WV

WS

JML

WV

WS

JML

2022

1915

1700

3615

1848

1683

3531

1592

1487

3079

140.25

87.20

2023

2181

1992

4173

2120

1962

4082

1804

1633

3437

121.76

84.20

2024

2447

2348

4795

2390

2315

4705

1905

1957

3862

140.54

82.08

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA June 13, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA LONGIDO YAADHIMISHA WIKI YA UNYONYESHAJI KWA MAFANIKIO MAKUBWA

    August 07, 2025
  • WASIMAMIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA WILAYANI LONGIDO WALA KIAPO CHA UADILIFU

    August 05, 2025
  • SHIRIKA LA MONDO TANZANIA LAKABIDHI MAGODORO 32 KWA WANANFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUMU SHULE YA MSINGI LONGIDO

    July 30, 2025
  • LONGIDO YANG'ARA KITAIFA YAPATA TUZO YA UFAULU KIDATO CHA PILI

    July 11, 2025
  • View All

Video

LONGIDO YASHIRIKI KIKAMILIFU KWENYE MAONESHO YA NANE NANE YANAYOFANYIKA VIWANJA VYA THEMI - NJIRO ARUSHA
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.