• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu,Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mijinii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Usafishaji na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Uchaguzi
      • Maliasili na Utalii
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Rasilimali Asili na Hifadhi ya Mazingira
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Maliasili na uhifadhi wa mazingira
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Leseni
    • Mapato
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti UKIMWI
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Michezo, Utamaduni na Sanaa

1. UTANGULIZI

Kitengo cha Michezo, Sanaa na Utamaduni ni miongoni mwa vitengo muhimu ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Longido, chenye dhamana ya kusimamia na kuratibu shughuli zote zinazohusiana na maendeleo ya michezo, ukuzaji wa sanaa, pamoja na uhifadhi wa mila na tamaduni za jamii za eneo hili.
Kitengo hiki hufanya kazi kwa kushirikiana na shule, vikundi vya kijamii, asasi za kiraia na wadau mbalimbali kwa lengo la kuibua na kukuza vipaji, kuimarisha mshikamano wa kijamii, na kulinda utambulisho wa kiutamaduni wa wananchi wa Longido.

2. DIRA YA KITENGO

Kuhamasisha na kuwezesha jamii ya Longido kushiriki kikamilifu katika shughuli za michezo, sanaa na utamaduni ili kukuza vipaji, kuimarisha afya, mshikamano wa jamii, na kudumisha urithi wa kitamaduni.

3. MAJUKUMU YA KITENGO

  • Kuratibu na kuendeleza shughuli za michezo katika shule na jamii.
  • Kusaidia kuanzisha na kuimarisha vikundi vya sanaa na utamaduni.
  • Kuandaa na kuratibu shughuli za michezo ya wanafunzi wa shule ya msingi (UMITASHUMTA)shule za sekondari (UMISSETA) na watumishi walio chini ya mamlaka za serikali za mitaa (SHIMISEMITA).
  • Kuratibu maadhimisho ya kitaifa na kimkoa yanayohusiana na michezo na utamaduni.
  • Kuhamasisha jamii kushiriki katika shughuli za michezo kwa lengo la kuimarisha afya na mshikamano.
  • Kutoa elimu kuhusu umuhimu wa kuhifadhi mila, desturi na tamaduni za jamii.
  • Kushirikiana na wadau mbalimbali katika kuibua, kukuza na kuendeleza vipaji vya watoto na vijana.
  • Kutoa vibali kwa shughuli za michezo, sanaa na burudani ndani ya Halmashauri.
  • Kuratibu usajili wa vikundi vya sanaa, vyama vya michezo, vilabu na kumbi za burudani au maonesho ya sanaa.

4. MALENGO YA KITENGO KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

  • Kuwezesha na kuratibu mashindano ya michezo katika ngazi ya shule, kata na wilaya.
  • Kuhifadhi, kutunza na kutangaza urithi wa kitamaduni wa jamii ya wafugaji na makabila ya Longido.
  • Kuimarisha ushiriki wa wanawake, vijana na watu wenye ulemavu katika shughuli za michezo na sanaa.
  • Kuandaa programu za kuibua na kukuza vipaji vya vijana wa Longido kupitia michezo na sanaa.
  • Kuweka mazingira wezeshi na rafiki kwa maendeleo ya vipaji katika michezo na sanaa.
  • Kuwezesha ushirikiano kati ya Halmashauri na wadau binafsi katika kukuza sekta ya michezo, sanaa na utamaduni.

5. WITO KWA WANANCHI NA WADAU

Halmashauri ya Wilaya ya Longido inawakaribisha wananchi, taasisi na wadau wote kushirikiana kwa dhati katika kukuza vipaji vya michezo na sanaa, na pia kuhifadhi mila na tamaduni zetu kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kijacho. Ushirikiano wenu ni msingi wa maendeleo endelevu ya jamii yetu.

6. WATUMISHI WA KITENGO CHA MICHEZO, SANAA NA UTAMADUNI

  • Naghenjwa M. Bananga – Kaimu Mkuu wa Sehemu ya Michezo, Sanaa na Utamaduni
  • Jesca Bosco Rwezaula – Afisa Maendeleo ya Michezo

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA June 13, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA LONGIDO YAADHIMISHA WIKI YA UNYONYESHAJI KWA MAFANIKIO MAKUBWA

    August 07, 2025
  • WASIMAMIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA WILAYANI LONGIDO WALA KIAPO CHA UADILIFU

    August 05, 2025
  • SHIRIKA LA MONDO TANZANIA LAKABIDHI MAGODORO 32 KWA WANANFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUMU SHULE YA MSINGI LONGIDO

    July 30, 2025
  • LONGIDO YANG'ARA KITAIFA YAPATA TUZO YA UFAULU KIDATO CHA PILI

    July 11, 2025
  • View All

Video

LONGIDO YASHIRIKI KIKAMILIFU KWENYE MAONESHO YA NANE NANE YANAYOFANYIKA VIWANJA VYA THEMI - NJIRO ARUSHA
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.