• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Miundombinu, Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mjjini
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Utawala na Usimamizi wa Rasimamli Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Huduma za Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Utalii
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Leseni
    • Huduma za Utalii
    • Huduma za Mapato
    • Huduma zetu Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati ya Maadili ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Barua pepe za Idara na Vitengo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Kituo cha habari
      • Maktaba ya Picha
      • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
  • Vivutio
    • Mbuga
    • Ziwa

Huduma za Kisheria

KITENGO CHA HUDUMA ZA SHERIA.


Kitengo cha sheria husimamia utekelezaji wa sheria na taratibu mbalimbali zinazoratibu shughuli mbalimbali za Halmashauri katika idara zote hivyo majukumu yake ni mtambuka.

SHUGHULI AMBAZO UTEKELEZWA KILA SIKU.

  • Kutoa ushauri wa kisheria kwa menejimenti ya Halmashauri katika mambo mbalimbali pamoja na wadau wengine,
  • Kusimamia kesi mbalimbali za Halmashauri kwa kushirikiana na ofisi ya Wakili Mkuu wa serikali,
  • Kutatua migogoro mbalimbali,
  • Kuandaa na kufanya upekuzi wa mikataba mbalimbali ya Halmashauri,
  • Kusimamia utekelezaji wa sheria hususani sheria ndogo za Halmashauri,
  • Kutunga na kurekebisha sheria ndogo za Halmashauri.
  • Kutoa ushauri wa kisheria kwa wananchi na
  • Kusimamia uendeshaji wa mabaraza ya Kata.

SHERIA NDOGO.

Halmashauri husimamia na kutekeleza shughuli mbalimbali kwa kutumia sheria ndogo ambazo zimetungwa, sheria hizo ni pamoja na;

  • Sheria ndogo za ada na ushuru,Tangazo na 559 la tarehe 05/07/2024,
  • Sheria ndogo za usafi wa mazingira, Tangazo na 559 la tarehe 05/07/2024 na
  • Sheria ndogo za kusimamia utekelezaji wa mpango wa afya na lishe ya jamii.

KESI

Halmashauri ina idadi ya kesi 03 ambazo bado zinaendelea katika Mahakama kuu ya Tanzania masijala ndogo ya Arusha. Kesi moja (01) ipo katika hatua ya usikilizaji, kesi moja (01) ipo katika hatua ya kutaja na kesi moja pande zote mbili zimekubali kumaliza mgogoro huo kwa njia ya maelewano na kusaini hati ya maridhiano. Kesi zote zinahusiana na migogoro ya ardhi kutokana na ongezeko la uhitaji wa maeneo ya uwekezaji na makazi.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO September 04, 2025
  • View All

Habari Mpya

  • VIONGOZI WA DINI WILAYA YA LONGIDO WATOA TAMKO JUU YA UCHAGUZI MKUU WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI

    October 23, 2025
  • WANAFUNZI 5,188 KUFANYA UPIMAJI WA KITAIFA DARASA LA NNE LONGIDO

    October 21, 2025
  • WWF YADHAMIRIA KUREJESHA MAZINGIRA ASILIA YA LONGIDO

    October 20, 2025
  • MATUKIO KATIKA PICHA SIKU YA PILI YA MAFUNZO YA WWF KWA VIONGOZI WA DINI, VIJIJI NA VIONGOZI WA KIMILA KUHUSU UHIFADHI WA MAZINGIRA LONGIDO

    October 16, 2025
  • View All

Video

KAMATI YA AMANI NA HAKI WILAYANI LONGIDO YATOA TAMKO LA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.