Mkuu wa Idara ya Kilimo Umwagiliaji na Ushirika(MR.KASIGA)
Halmashauri ya Wilaya
LONGIDO
ARUSHA
Kilimo ni uti wa mgongo katika Uchumi wa nchi ya Tanzania. Kinachangia kwa asilimia 95% kwa mahitaji ya chakula kwa Nchi. Wilaya ya Longido ina jumla ya Kilomita za Mraba 7, 782, sawa na Hekta 778,200.
Katika Wilaya kuna skimu 2 za umwagiliaji ambazo zinatumiwa na wakulima wadogowadogo. Ukarabati wa Skimu hufanyika kupitia fedha zilizotengwa kwa mwaka wa fedha husika.
Eneo linalofaa kwa kilimo katika Halmashauri ni hekta 36,578 sawa na asilimia 9.4% lakini eneo linalolimwa kwa sasa ni hekta 29,223 sawa na asilimia 3.76%. Eneo linalofaa kwa umwagiliaji ni hekta 1700 na linalomwagiliwa kwa sasa ni hekta 840.Vijiji vinavyojishughulisha na kilimo cha umwagiliaji ni Tingatinga na Ngereyani. Katika Wilaya kuna skimu 2 za umwagiliaji ambazo zinatumiwa na wakulima wadogowadogo.
Kuna mto 1 (Mto simba) unaotokea katika miteremko ya Mlima Kilimanjaro na maji hutumika kwa umwagiliaji na matumizi ya nyumbani.
Maeneo yenye kilimo:
Ukanda wa milimani na magharibi mwa Mlima Kilimanjaro hupata mvua za wastani wa Milimita 500 hadi 900 kwa mwaka na Uwanda wa chini milimita 500 hadi 800 kwa mwaka.
Mazao yanayostawishwa ukanda wa milimani ni:
Kwa upande wa magharibi mwa Mlima Kilimanjaro mazao ni:
Na uwanda chini mazao ni mahindi na maharage.
Shughuli zinazofanyika katika Sekta ya Kilimo:
Mbinu hizo ni pamoja na:
KITUO CHA RASILIMALI YA KILIMO NA MIFUGO - OLMOLOG
IRRIGATION WATER INTAKE NGEREYANI SCHEME
MAIN CANAL NGEREYANI IRRIGATION SCHEME
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: 027-2539603
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM