• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Miundombinu, Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mjjini
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Utawala na Usimamizi wa Rasimamli Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Huduma za Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Utalii
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Leseni
    • Huduma za Utalii
    • Huduma za Mapato
    • Huduma zetu Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati ya Maadili ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Barua pepe za Idara na Vitengo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Kituo cha habari
      • Maktaba ya Picha
      • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
  • Vivutio
    • Mbuga
    • Ziwa

HALMASHAURI YA WILAYA YA LONGIDO YAPELEKA TIMU YA UMITASHUMTA KATIKA MASHINDANO YA MKOA ARUSHA 2025

Posted on: May 28th, 2025

ARUSHA, Mei 27, 2025 – Wilaya ya Longido leo imepeleka rasmi timu yake ya michezo ya UMITASHUMTA kuelekea Mkoani Arusha kwa ajili ya kushiriki mashindano ya ngazi ya mkoa yatakayofanyika kuanzia tarehe 28 hadi 31 Mei 2025 katika viwanja vya Shule ya Msingi Ilboru.


Timu hiyo yenye wanafunzi 83 kutoka shule mbalimbali za msingi Longido, inatarajiwa kushiriki katika michezo mbalimbali ikiwemo mpira wa miguu (wavulana na wasichana), mpira wa wavu (wavulana), handball (wavulana na wasichana), netball, riadha,pamoja na Kizazi Kipya, ambayo inalenga kukuza vipaji vya sanaa kwa watoto.


Akizungumza wakati wa kuwaaga wachezaji hao, Afisa Elimu Michezo wa Wilaya ya Longido, Bi. , aliwataka Jesca Bosco Rwezaura wanafunzi hao kuwa mabalozi wema wa wilaya yao kwa kuzingatia nidhamu, ushindani wa haki, na mshikamano. “Mnakwenda kuiwakilisha Longido, mnapaswa kuonyesha uzalendo, nidhamu na kushirikiana kama timu. Mafanikio yenu ni fahari kwa wilaya nzima,” alisema Leikoi.


Timu hiyo inaongozwa na jumla ya walimu wa michezo sita (6)waliobobea katika michezo husika, ambao watasimamia ustawi wa wanafunzi wakati wote wa mashindano.


Mashindano ya UMITASHUMTA ni sehemu ya kalenda ya kitaifa ya michezo kwa shule za msingi na hutoa fursa kwa wanafunzi kuonyesha vipaji vyao na kuandaliwa kwa mashindano ya kitaifa.


Wilaya ya Longido inatarajia kufanya vizuri katika mashindano hayo kufuatia maandalizi mazuri na hamasa kubwa kutoka kwa walimu, wazazi na viongozi wa wilaya.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO September 04, 2025
  • View All

Habari Mpya

  • VIONGOZI WA DINI WILAYA YA LONGIDO WATOA TAMKO JUU YA UCHAGUZI MKUU WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI

    October 23, 2025
  • WANAFUNZI 5,188 KUFANYA UPIMAJI WA KITAIFA DARASA LA NNE LONGIDO

    October 21, 2025
  • WWF YADHAMIRIA KUREJESHA MAZINGIRA ASILIA YA LONGIDO

    October 20, 2025
  • MATUKIO KATIKA PICHA SIKU YA PILI YA MAFUNZO YA WWF KWA VIONGOZI WA DINI, VIJIJI NA VIONGOZI WA KIMILA KUHUSU UHIFADHI WA MAZINGIRA LONGIDO

    October 16, 2025
  • View All

Video

KAMATI YA AMANI NA HAKI WILAYANI LONGIDO YATOA TAMKO LA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.