Ofisi ya Mkurugenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Longido anawatangazia Wananchi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Longido kujitokeza kwa wingi kumshuhudia Rais Wetu akiweka Jiwe la msingi katika Mradi mkubwa wa Maji Longido kutoka chanzo kikuu cha Mto Simba. Zoezi hilo litafanyika katika Viwanja vilivyo eneo la Oltepesi Barabara ya Tingatinga Kilometa chache kuka barabara kuu ya Arusha Namanga kesho Tarehe 21/09/2017 muda wa saa Tatu asubuhi.
Asanten
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: 027-2539603
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM