• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Miundombinu, Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mjjini
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Utawala na Usimamizi wa Rasimamli Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Huduma za Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Utalii
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Leseni
    • Huduma za Utalii
    • Huduma za Mapato
    • Huduma zetu Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati ya Maadili ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Barua pepe za Idara na Vitengo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Kituo cha habari
      • Maktaba ya Picha
      • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
  • Vivutio
    • Mbuga
    • Ziwa

Usafi na Mazingira

KITENGO CHA USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI WA  MAZINGIRA – HALMASHAURI YA WILAYA YA LONGIDO

 Kitengo hiki kinahusika moja kwa moja na kusimamia shughuli zote zinazolenga kulinda, kudhibiti na kuboresha hali ya afya ya mazingira kwa jamii ya Longido, mijini na vijijini.

MAJUKUMU YA KITENGO KWA UJUMLA

  • Kudhibiti uchafuzi wa mazingira.
  • Kusimamia usafi wa mazingira mijini na vijijini.
  • Kudhibiti taka ngumu na majitaka.
  • Kufuatilia ubora wa maji na kudhibiti vyanzo vya uchafuzi.
  • Kuandaa na kutekeleza kampeni za usafi.
  • Kutoa elimu kwa umma kuhusu afya ya mazingira.

MAJUKUMU YA KILA SEHEMU NDOGO YA KITENGO

  1. Usafi wa Mazingira Mijini na Vijijini
    • Kuhakikisha kaya zote zinakuwa na vyoo bora na salama.
    • Kufanya ufuatiliaji wa usafi wa maeneo ya makazi, masoko, shule, na vituo vya afya.
  2. Udhibiti wa Taka Ngumu
    • Kuratibu ukusanyaji, usafirishaji na utupaji wa taka ngumu kwa kuzingatia taratibu za kiafya.
    • Kuhamasisha jamii kushiriki katika shughuli za usafi wa mazingira.
  3. Udhibiti wa Mazingira ya Ndani na Makazi
    • Kufanya ukaguzi wa makazi ili kuzuia magonjwa yanayotokana na mazingira duni.
    • Kusimamia kampeni dhidi ya panya, mbu, na wadudu wengine waharibifu wa afya.
  4. Udhibiti wa Vichimbio vya Maji na Majitaka
    • Kukagua na kuidhinisha vyanzo vya maji kwa matumizi ya binadamu.
    • Kutoa ushauri wa kitaalam kuhusu ujenzi wa miundombinu ya majitaka.

USIMAMIZI WA KITENGO

Kitengo cha Afya Mazingira kinasimamiwa na Afisa Afya Mazingira wa Wilaya ambaye anawajibika kwa:

  • Kuratibu shughuli zote za afya mazingira katika wilaya.
  • Kusimamia utekelezaji wa sera, miongozo na sheria zinazohusu afya ya mazingira.
  • Kufanya tathmini ya hali ya afya ya mazingira na kutoa taarifa kwa uongozi wa halmashauri.

KAZI ZA MAAFISA AFYA MAZINGIRA

  • Kukagua maeneo ya umma na binafsi ili kuhakikisha yanakidhi viwango vya afya ya mazingira.
  • Kutoa elimu ya afya ya mazingira kwa jamii kupitia mikutano, semina na kampeni.
  • Kuandaa na kutekeleza mipango ya usafi na uhifadhi wa mazingira.
  • Kushiriki kwenye shughuli za dharura za afya ya jamii kama vile mlipuko wa magonjwa.
  • Kuandika taarifa za ukaguzi na kutoa ushauri wa kitaalamu kwa jamii na wadau wengine.

URATIBU WA SHUGHULI ZA KITENGO

  • Kuandaa mpango kazi wa mwaka wa kitengo.
  • Kushirikiana na wadau mbalimbali kama NGOs na sekta binafsi katika masuala ya afya ya mazingira.
  • Kufanya tathmini ya utekelezaji wa miradi ya afya mazingira.
  • Kuhakikisha upatikanaji wa vifaa na rasilimali muhimu kwa utekelezaji wa shughuli za kitengo.

Kwa mawasiliano au maelezo zaidi, tembelea Ofisi ya Afya Mazingira – Halmashauri ya Wilaya ya Longido.

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA June 13, 2025
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WA UMMA April 12, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA May 15, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA June 25, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • View All

Video

MKUU WA WILAYA YA LONGIDO AUNGANA NA RC KIHONGOSI KWENYE JOGGING YA TANZANIA SAMIA CONNECT
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.