KITENGO CHA HUDUMA ZA SHERIA.
Kitengo cha sheria husimamia utekelezaji wa sheria na taratibu mbalimbali zinazoratibu shughuli mbalimbali za Halmashauri katika idara zote hivyo majukumu yake ni mtambuka.
SHUGHULI AMBAZO UTEKELEZWA KILA SIKU.
SHERIA NDOGO.
Halmashauri husimamia na kutekeleza shughuli mbalimbali kwa kutumia sheria ndogo ambazo zimetungwa, sheria hizo ni pamoja na;
KESI
Halmashauri ina idadi ya kesi 03 ambazo bado zinaendelea katika Mahakama kuu ya Tanzania masijala ndogo ya Arusha. Kesi moja (01) ipo katika hatua ya usikilizaji, kesi moja (01) ipo katika hatua ya kutaja na kesi moja pande zote mbili zimekubali kumaliza mgogoro huo kwa njia ya maelewano na kusaini hati ya maridhiano. Kesi zote zinahusiana na migogoro ya ardhi kutokana na ongezeko la uhitaji wa maeneo ya uwekezaji na makazi.
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: 027-2539603
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.