• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Miundombinu, Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mjjini
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Utawala na Usimamizi wa Rasimamli Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Huduma za Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Utalii
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Leseni
    • Huduma za Utalii
    • Huduma za Mapato
    • Huduma zetu Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati ya Maadili ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Barua pepe za Idara na Vitengo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Kituo cha habari
      • Maktaba ya Picha
      • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
  • Vivutio
    • Mbuga
    • Ziwa

Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu

Idara ya Utawala na usimamizi wa Rasilimali watu, katika Halmashauri ya Wilaya ya Longido imekuwa kiungo muhimu katika kusimamia rasilimali watu, kuweka mifumo ya utawala bora, na kuhakikisha watumishi wa umma wanatoa huduma bora kwa wananchi kwa kuzingatia maadili ya kazi, ufanisi, na uwajibikaji.

Majukumu Makuu ya Idara ya Utawala na Utumishi

  1. Usimamizi wa Rasilimali Watu
    • Kuandaa mahitaji ya ajira kulingana na mahitaji ya idara.
    • Kuendesha mchakato wa ajira mpya kwa mujibu wa kibali kutoka TAMISEMI na Sekretarieti ya Ajira.
    • Kufuatilia maendeleo ya watumishi kazini na kuhifadhi taarifa zao.
  2. Kuratibu Mafunzo kwa Watumishi
    • Kuandaa mipango ya mafunzo ya muda mfupi na mrefu.
    • Kufuatilia watumishi waliopo masomoni.
    • Kuwezesha uboreshaji wa taaluma na ufanisi kazini.
  3. Kusimamia Nidhamu Kazini
    • Kushughulikia masuala ya kinidhamu ya watumishi kwa mujibu wa Kanuni za Utumishi wa Umma.
    • Kutoa miongozo ya nidhamu, maadili, na uadilifu kazini.
  4. Kurahisisha Mawasiliano ya Ndani
    • Kusimamia shughuli za kila siku katika ofisi ya Mkurugenzi.
    • Kuratibu vikao vya menejimenti, baraza la madiwani na vikao vya kamati za kudumu.
  5. Usimamizi wa Usalama, Ulinzi na Itifaki
    • Kuratibu shughuli za walinzi wa ofisi.
    • Kuratibu mapokezi ya viongozi wa kitaifa na wageni mbalimbali.
  6. Usimamizi wa Ofisi, Nyaraka na Posta
    • Kusimamia mfumo wa mapokezi na usambazaji wa barua.
    • Kuhifadhi kumbukumbu na nyaraka za halmashauri.
    • Kusimamia upokeaji wa vifaa na usafi wa majengo.
  7. Kusimamia Uboreshaji wa Mazingira ya Kazi
    • Kuwezesha huduma za usafi, matengenezo ya ofisi, na mazingira rafiki kwa utendaji bora wa kazi.

Seksheni Zilizopo Kwenye Idara ya Utawala na Utumishi

Idara hii imegawanyika katika seksheni kuu nne (4), kila moja ikiwa na majukumu maalum:

1. Seksheni ya Utumishi wa Umma

  • Inaratibu ajira mpya, uhamisho, upandishaji vyeo, uthibitisho kazini, na mafao ya kustaafu.
  • Inasimamia kanzidata ya taarifa za watumishi (HRMIS).
  • Inaratibu tathmini ya utendaji kazi (PEPMIS).

2. Seksheni ya Mafunzo na Maendeleo ya Watumishi

  • Inaratibu mipango ya mafunzo ya kitaaluma.
  • Inasimamia masomo ya muda mrefu na wa muda mfupi.
  • Hutoa vibali vya mafunzo na kuratibu marejeo ya watumishi waliomaliza masomo.

3. Seksheni ya Utawala wa Ofisi

  • Inasimamia huduma za kiofisi kama usafi, ulinzi, mapokezi na usambazaji wa nyaraka.
  • Inaratibu shughuli za uendeshaji wa ofisi ya mkurugenzi.
  • Inahakikisha utunzaji wa nyaraka na vifaa vya ofisi.

4. Seksheni ya Usalama, Itifaki na Mawasiliano ya Ndani

  • Inaratibu mapokezi ya viongozi na wageni rasmi.
  • Inasimamia itifaki za halmashauri.
  • Inashughulikia ulinzi wa majengo ya serikali.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 08, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA ( LINARUDIWA ) October 10, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA October 19, 2024
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 October 30, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA LONGIDO AWATAKIA WANAFUNZI WA DARASA LA SABA KILA LAHERI KWENYE MITIHANI YAO

    September 09, 2025
  • HUDUMA ZA UPASUAJI ZAANZA RASMI KITUO CHA AFYA EWORENDEKE - LONGIDO

    September 06, 2025
  • HUDUMA ZA UPASUAJI ZAANZA RASMI KITUO CHA AFYA EWORENDEKE - LONGIDO

    September 06, 2025
  • RC ARUSHA ATOA WITO WA AMANI NA UTULIVU LONGIDO KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

    September 04, 2025
  • View All

Video

PWC YATOA MSAADA KWA MASHIRIKA MADOGO LONGIDO KUKABILI MABADILIKO YA TABIA NCHI
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.