• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Miundombinu, Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mjjini
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Utawala na Usimamizi wa Rasimamli Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Huduma za Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Utalii
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Leseni
    • Huduma za Utalii
    • Huduma za Mapato
    • Huduma zetu Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati ya Maadili ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Barua pepe za Idara na Vitengo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Kituo cha habari
      • Maktaba ya Picha
      • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
  • Vivutio
    • Mbuga
    • Ziwa

Utalii

Wilaya ya longido ni moja ya wilaya za mkoa wa Arusha iliyobarikiwa kuwa na vivutio mbalimbali vya utalii.

  • Uwepo wa spishi mbalimbali za wanyamapori:
  • Wilaya ya Longido imezungukwa na hifadhi kubwa za wanyamapori ambazo kama pori la akiba la pololeti, hifadhi ya taifa ya Arusha (ANAPA), hifadhi ya taifa Kilimanjaro (KINAPA), hifadhi ya taifa ya amboseli ya nchini kenya na hifadhi za jamii ya upande wa Kenya katika eneo la mpaka wa kimataifa wa kenya na tanzania.
  • Uwepo wa hifadhi tajwa hapo juu, inayofanya sehemu kubwa ya wilaya ya Longido kuwa kama ni sehemu ya mapito ya wanyamapori kutoka magharibi kwenda mashariki na kinyume chake, kusini kwenda kaskazini na kinyume chake.
  • Wanyamapori aina mbalimbali wanapatika katika meneo yote ya Wilaya kiasi kwamba wanafika hadi kwenye makazi ya watu kutafuta mahitaji yao na wakati mwingine kwa kupita tu na kufanya utalii kuwa wa gharama ndogo katika Wilaya yetu. kwa maneno mengine, hali kama hii, inafungua fursa kubwa ya utalii wa picha kwa gharama ndogo (photographic tourism) na uwindaji wa kitalii kupitia kampuni zilizoingia mikataba ya uwekezaji na wizara ya maliasili na utalii ambapo kwa sasa wilaya yetu ina jumla ya vitalu 7 vya uwindaji vyenye wawekezaji.
  • Mbuga ya engasurai ndani ya eneo la jumuiya ya hifadhi ya wanyamapori Enduimet ni kama Serengeti ndogo ambapo utaweza kutazamaza makundi mbalimbali ya wanyamapori kama twiga, pundamilia, nyumbu, swala granti, swala thomi, swala twiga, digidgi, bweha,tembo na ndege wakubwa kama mbuni (ostrich), tandawala (cori bustard) na ndege sekretari (secretary bird). kwa safari za kutazama ndege na kufanya utafiti, longido ndio pemyewe.
  • Uwepo wa spishi za aina mbalimbali za ndege:
  • Wilaya ya Longido imebarikiwa kuwa na spishi za aina mbalimbali za ndege na kuifanya wilaya yetu kuwa kivutio kikubwa cha utalii kupitia matembezi ya kutazama ndege na utafiti.
  •  
  • Ziwa natron kama kivutio cha utalii:
  • Ziwa natron ni mojawapo ya vivutio vya kipekee vya utalii katika wilaya za longido kutokana na sifa za kipekee za kijiolojia, kiikolojia na kitamaduni.
  • Mazalia ya flamingo: ziwa hili ni eneo muhimu duniani kwa mazalia ya ndege aina ya heroe wadogo (lesser flamingo) kutokana na mazingira yake ya chumvi na alkalini yanawezesha ukuaji wa viumbe hai wa majini wanaowategemewa na flamingo kama chakula. uwepo wa heroe wadogo katika ziwa hili, huwavuta watalii wapenda ndege kufika eneo hilo kwa ajili ya utazamaji na kupiga picha.
  • Mandhari ya asili ya kipekee: maji ya ziwa natron hubadilika rangi kuwa nyekundu au waridi kutokana na hali ya kemikali na viumbe wa majini, hali inayovutia watalii kutembelea maeneo hayo kujionea na kupiga picha.
  • Utalii wa ikolojia: katika eneo la ziwa natron na Misitu ya Hifadhi ya Ketumbeine na Gelai watalii huweza kufanya matembezi ya asili, kuangalia nyayo za binadamu wa kale zilizoganda kwenye lava na kufurahia mazingira ya kipekee ya ziwa na mazingira yanayolizunguka.
  • Mlima wa volkano wa Oldoinyo Lengai: mlima huu, una volcano hai iliyopoa. wageni wengi hufika eneo hilo kupanda kwa ajili ya kujionea maajabu ya kijiolojia.
  •  Utalii wa kitamaduni: katika wilaya ya Longido, inaishi jamii ya kimaasai ambayo imehifadhi utamaduni wake kwa muda mrefu. watalii hupata fursa ya kujifunza tamaduni za wamasai kwa kushiriki shughuli za jadi, kutembelea boma, na kujifunza kuhusu maisha yao ya kila siku.

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA June 13, 2025
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WA UMMA April 12, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA May 15, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA June 25, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • View All

Video

MKUU WA WILAYA YA LONGIDO AUNGANA NA RC KIHONGOSI KWENYE JOGGING YA TANZANIA SAMIA CONNECT
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.