MIPANGO NA URATIBU
Lengo Kuu
Kutoa utaalamu na huduma katika kupanga, kuandaa bajeti, kufuatilia na kutathmini utekelezaji wa mipango.
Malengo Mahususi
(i) Kuandaa mikakati, mipango na bajeti ya muda wa kati na muda mrefu;
(ii) Kufuatilia na kutathmini utekelezaji wa mikakati, mipango na bajeti;
(iii) Kuandaa na kupitia wasifu wa kiuchumi wa Halmashauri;
(iv) Kuratibu utekelezaji wa ushiriki wa sekta binafsi;
(v) Kuratibu ukusanyaji, uchambuzi, ufafanuzi na uhifadhi wa takwimu katika Halmashauri;
(vi) Kutoa ushauri wa kitaalamu kuhusu mchakato wa ufuatiliaji na tathmini;
(vii) Kuratibu shughuli za Menejimenti ya Maafa ya Halmashauri; na
(viii) Kuratibu shughuli za Halmashauri zinazotekelezwa na taasisi nyingine kama vile sekta ya ardhi.
Jedwali Na. 7: Idara ya Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
Cheo |
Waliopo |
Wanaohitajika |
Upungufu |
Mkuu wa Idara
|
1
|
1
|
0
|
Mchumi
|
1
|
2
|
1
|
Mtaalamu wa Takwimu
|
1
|
2
|
1
|
Mipango
|
2
|
2
|
0
|
Katibu Muhtasi
|
1
|
1
|
0
|
Jumla
|
6
|
7
|
2
|
Watumishi wa Idara ya Mipango na Uratibu
Cheo |
Jina |
Mkuu wa Idara
|
Nevilling Lyimo
|
Mchumi
|
Halfan Halfan Shaban
|
Mtaalamu wa Takwimu
|
Emmanuel Magoha
|
Maafisa Mipango
|
Gabriel Lyimo na Dawami Juma
|
Katibu Muhtasi
|
Neema Chibago
|
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: 027-2539603
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.