• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Miundombinu, Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mjjini
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Utawala na Usimamizi wa Rasimamli Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Huduma za Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Utalii
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Leseni
    • Huduma za Utalii
    • Huduma za Mapato
    • Huduma zetu Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati ya Maadili ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Barua pepe za Idara na Vitengo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Kituo cha habari
      • Maktaba ya Picha
      • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
  • Vivutio
    • Mbuga
    • Ziwa

Vivutio vya Uwekezaji

Fursa za Uwekezaji katika Wilaya ya Longido

Wilaya ya Longido, iliyoko Kaskazini mwa Tanzania na inapakana na nchi ya Kenya, ni miongoni mwa wilaya zenye fursa nyingi na za kipekee kwa uwekezaji wa ndani na wa kimataifa. Mazingira yake ya kijiografia, kiuchumi na kijamii yanaipa uwezo mkubwa wa kuwa kitovu cha biashara, utalii na uzalishaji wa mali.

 Fursa Muhimu za Uwekezaji

  1. Ukanda wa Kimkakati wa Biashara na Masoko
    • Wilaya ya Longido ni lango kuu la kuingia bidhaa kutoka Tanzania kwenda Kenya, hivyo ni sehemu sahihi ya kuwekeza kwenye masoko ya kilimo na mifugo, viwanda vya kuchakata mazao na vituo vya biashara ya mipakani.
  2. Umeme wa Uhakika
    • Inapata umeme kutoka Gridi ya Taifa, hivyo kusaidia kuaminika kwa uzalishaji, viwanda na huduma za kijamii.
  3. Upatikanaji wa Maji
    • Kuna vyanzo vingi vya maji ya chini ya ardhi na mito ya kudumu. Pia, mradi mkubwa wa maji kutoka Mto Simba (Wilaya ya Siha, Kilimanjaro) utahudumia mji wa Longido na viunga vyake.
  4. Uwanja wa Ndege na Maeneo ya Kujenga
    • Wilaya ina viwanja vya ndege vidogo (Muryatata, Mundarara, Gelai Meirugoi) na maeneo yaliyotengwa kwa viwanja vipya (Wosiwosi, Sinya, Oltepesi n.k).
  5. Ardhi ya Kutosha na Salama kwa Uwekezaji
    • Eneo la kutosha kwa ujenzi wa:
      • Campsite, mahoteli na maeneo ya biashara
      • Mashamba ya malisho ya mifugo na kilimo cha kisasa
  6. Vivutio vya Utalii vya Kipekee
    • Mlima Lengai (volcano hai), Mlima Longido, chemichemi za maji ya moto, mapango ya kihistoria, makazi ya asili ya Wamaasai.
    • Uwepo wa maeneo ya uwindaji (vitalu 6) na maeneo ya kujenga mahoteli ya kitalii.
  7. Ziwa Natron
    • Nyumbani kwa ndege aina ya Flamingo na magadi soda. Maeneo ya Wosiwosi, Magadini na Gelai Meirugoi yana mvuto wa kipekee wa utalii wa kiikolojia.
  8. Madini ya Thamani
    • Wilaya ina madini kama vile Ruby, Dhahabu, Chokaa (Limestone), Feldspar na mengineyo, hasa maeneo ya Mundarara, Gelai na Magadini.
  9. Miundombinu ya Barabara
    • Barabara ya lami ya kimataifa (km 104) inayounganisha Arusha na Kenya.
    • Zaidi ya km 458 za barabara za ndani zinazopitika mwaka mzima, kurahisisha usafiri na usafirishaji wa bidhaa na huduma.
  10. Fursa za Uwezeshaji wa Jamii
    • Programu nyingi za ujasiriamali, mikopo kwa vijana na wanawake kupitia SACCOS na VICOBA.
    • Maeneo mengi kwa ajili ya uwekezaji kwenye elimu, afya, nishati mbadala, TEHAMA, na biashara ndogo ndogo.

Hitimisho

Wilaya ya Longido ni chachu ya maendeleo ya kanda ya kaskazini na lango la biashara la Afrika Mashariki. Wawekezaji wanakaribishwa kuchangamkia fursa hizi zenye tija kwa maendeleo ya pamoja ya kiuchumi na kijamii.

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA June 13, 2025
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WA UMMA April 12, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA May 15, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA June 25, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • View All

Video

MKUU WA WILAYA YA LONGIDO AUNGANA NA RC KIHONGOSI KWENYE JOGGING YA TANZANIA SAMIA CONNECT
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.