• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Miundombinu, Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mjjini
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Utawala na Usimamizi wa Rasimamli Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Huduma za Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Utalii
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Leseni
    • Huduma za Utalii
    • Huduma za Mapato
    • Huduma zetu Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati ya Maadili ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Barua pepe za Idara na Vitengo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Kituo cha habari
      • Maktaba ya Picha
      • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
  • Vivutio
    • Mbuga
    • Ziwa

Huduma zetu-LESENI

HATUA ZA KUPATA LESENI YA BIASHARA

  1. Tambua biashara yako (aina yake)
  2. Ulipie ada kwa kiwango kinacholingana na aina ya biashara unayofanya kwa mujibu wa sheria .
  3. Tembelea tovuti https://tausi.tamisemi.go.tz  kwa ajili ya kujisajili na kuweza kutuma maombi ya leseni au fika kwenye Ofisi ya Halmashauri (Longido Town – Mbali na barabara kuu ya Arusha‑Namanga) kwa ajili ya msaada zaidi.
  4. Maombi yako ya leseni yatafanyiwa kazi na utapata Ankara ya malipo (control number)
  5. Baada ya kufanya malipo leseni yako itakuwa tayari .Hivyo ytembelea tena kwenye akaunti yako ya TAUSI kupata leseni yako.
  6. Leseni itakuwa na muda wa miaka 1, huisha (renew) baada ya leseni kuisha muda wake na  kabla ya siku 21 kupita.

Kwa Maelezo Zaidi wasiliana nasi simu No

0787251074 na 0655965899  Afisa Biashara


Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO September 04, 2025
  • View All

Habari Mpya

  • WANAFUNZI 219 WAHITIMU KIDATO CHA NNE SHULE YA SEKONDARI ENGARENAIBOR

    October 06, 2025
  • LONGIDO YAADHIMISHA SIKU YA WAZEE KWA SHANGWE NA UTOAJI WA HUDUMA ZA AFYA

    September 26, 2025
  • LONGIDO YAADHIMISHA SIKU YA USAFI WA MAZINGIRA KWA MAFANIKIO MAKUBWA

    September 20, 2025
  • LONGIDO YAADHIMISHA SIKU YA USAFI WA MAZINGIRA KWA MAFANIKIO MAKUBWA

    September 20, 2025
  • View All

Video

KARIBU LONGIDO LANGO LA UTALII
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.