HUDUMA ZA MIFUGO ZINAZOTOLEWA NA HALMASHAURI YA WILAYA YA LONGIDO
Halmashauri ya Wilaya ya Longido kupitia Idara ya Mifugo inatoa huduma mbalimbali kwa wafugaji kwa lengo la kuboresha afya ya mifugo, kuongeza uzalishaji wa mifugo na bidhaa zake, pamoja na kuongeza kipato kwa wananchi. Huduma hizo ni pamoja na:
1. Huduma za Chanjo na Tiba
2. Huduma za Ugani
3. Huduma za Tiba ya Majosho
4. Huduma za Tiba ya Ndani (Deworming)
5. Huduma za Uhimilishaji na Uzalishaji Bora
6. Huduma za Uboreshaji wa Mazingira ya Mifugo
7. Huduma za Usajili wa Machinjio
8. Huduma za Masoko ya Mifugo
9. Udhibiti wa Magonjwa ya Mlipuko
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: 027-2539603
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.