MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
HALMASHAURI YA WILAYA YA LONGIDO
1. Utangulizi
Halmashauri ya Wilaya ya Longido inatoa huduma mbalimbali kwa wananchi kwa kuzingatia misingi ya uwazi, uwajibikaji, ufanisi na haki kwa kila mteja. Mkataba huu unaeleza huduma zinazotolewa, muda wa utekelezaji, haki na wajibu wa mteja pamoja na taratibu za kutoa malalamiko au maoni.
2. Dira (Vision)
Kuwa Halmashauri inayotoa huduma bora kwa wananchi na kuleta maendeleo endelevu.
3. Dhima (Mission)
Kutoa huduma bora kwa wananchi kwa kuzingatia ushirikishwaji, uwazi, na matumizi bora ya rasilimali zilizopo.
4. Huduma Zinazotolewa na Muda Wake
Huduma
|
Maelezo
|
Muda wa Kutekeleza
|
Usajili wa wanafunzi
|
Kupokea na kuandikisha wanafunzi wa shule za awali, msingi na sekondari
|
Siku 1 hadi 3
|
Malipo ya fidia au madai
|
Kushughulikia stahiki mbalimbali
|
Ndani ya siku 14
|
Utoaji wa leseni za biashara
|
Kusajili na kutoa leseni
|
Siku 1 hadi 2
|
Kusajili vikundi
|
Kupokea na kusajili vikundi vya maendeleo
|
Ndani ya wiki 1
|
5. Haki za Mteja
6. Wajibu wa Mteja
7. Njia za Kutoa Malalamiko/Mapendekezo
Mteja anaweza kutoa maoni, malalamiko au pongezi kwa njia zifuatazo:
8. Ahadi ya Uwajibikaji
Halmashauri ya Wilaya ya Longido inawajibika kutekeleza huduma kwa viwango vilivyoainishwa. Pale ambapo huduma haitatolewa kwa kiwango au muda uliotarajiwa, Halmashauri itawajibika kutoa sababu na kurekebisha mapungufu hayo haraka iwezekanavyo.
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: 027-2539603
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.